Mke mwema anatakiwa haraka(mwenye utayari)


E

ELLY83

Member
Joined
Dec 12, 2012
Messages
9
Points
0
E

ELLY83

Member
Joined Dec 12, 2012
9 0
Mimi ni mwajiriwa katika kampuni moja hapa nchini umri wangu ni miaka 28.Natafuta mchumba wa kuoa umri kuanzia 23-28,ambaye tutafahamiana na baadaye kuishi pamoja.Asiwe na mtoto,awe hajawahi kuolewa,awe mkristo,umbo la kawaida,rangi yoyote,mrefu wastani,sitaki mlevi wala muongo kwani wasanii wamejaa humu ndani nataka kuwasiliana na mtu aliye tayari kuanza maisha.Aliye tayari tuwasiliane kupitia(mshanaemanuel@yahoo.com).Niko serious sitaki mchezo tafadhali.
 
kandukamo1

kandukamo1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
987
Points
500
kandukamo1

kandukamo1

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
987 500
Hahahah....eti humu wengi wasanii bt yew seem kuupenda usanii wao na sio mapenzi ya dhati toka kwa umtakaye. Anyway, goodlucky Mkuu.
 

Forum statistics

Threads 1,283,849
Members 493,850
Posts 30,802,923
Top