Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta rafiki wa kike wa kuhat nae. awe anajieshimu sana. nipate hapa 0715120841
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Kama wewe ni mwanamke mpenda ideas mpya za kimaisha,jiunge nami katika kubadilishana mawazo ili tuishi vyema hapa mjini na Tanzania kwa ujumla.Uwe na umri wa miaka 18-26. Mimi jina langu ni hili...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mi ni kijana, urefu 178cm, 37yrs ninatafuta mwanamke wa kuoa wenye umri kati ya 27-33yrs, mkristo, at least degree, asiwe mnene pls na mweupe kiasi ila siyo wa mkorogo. Kama uko interested...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I'm 21 yrs old ,looking for a girl who i'll truly love ! She should be from 18 to 21 !
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nahitaji marafiki wa kuchat nao na kubadilishana mawazo kwa kupitia namba 0759749175 sms zitajibiwa
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Natafuta mwanamke wa kuoa, sifa ya kwanza awe mjaluo, Umri 22.'-26. Mwenye nidhamu na atleast elimu ya f4 au mwalimu msingi. Aliye tayari tuwasiliane.
1 Reactions
31 Replies
8K Views
mimi ni kijana nina akili timamu jinsi navoji feel. na huwa najihisi kamili zaid napopiga konyagi mizinga 2. tatizo langu kila mwanamke naempata ananichezea tu akinichoka ananiacha yaani nimeachwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, Nina hamu ya ku-do na msichama wa hapa JF, sitaki tuwe na mahusiano ya kiuchumba, wala sio kwa ajili ya kuuziana (Raha tunapata wote). Nataka wa kusex nae tu pale ninapojiskia, nae...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimesoma malalamiko mengi humu JF. Wanawake wakilaumu kuwa wanaume wa Jf ni balaa, mabomu, wanataka sex tu, waongo, walaghai nk Na wanaume wakilalamika kusema wanawake wa JF ni noma, m-pesa na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Natafuta mchumba kuanzia miaka 18-22 ,awe na sifa zifuatazo 1.mweupe bila mkorogo/mweusi black beuty 2.awe na elimu ya kuanzia form 4 au kuendelea mwisho bachelor 3.awe na heshima na maadili...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
mm ni msichana mwenye umri wa miaka 27....ni mjasiliamali ... natafuta marafiki ambao tunaweza tukashauriana khusu biashara...ambao watapenda tuwasiliane kwa email: jacquee_rw@hotmail.com Phone...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Enzi za mitume kulikua na mtu mmoja alikua mfupi saaana alikua huenda msikitini kusali akitoka tu huwa viatu havioni wapo jamaa huvificha kila siku juu ya paa yeye akitoka nje ya mskt husubiri mtu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wa jf natafuta marafiki wa kike na kiume
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Halow wana jf matani ya kizidi huwa makosa kwa kweli matani sio mazuri ya kizidi kwa sababu humu katika jf wengine huwa wako serious kwa taarifa zao lakini huambulia joks pia wengine hutafuta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta Marafiki Wa Kuchat Nao Kupitia Email:wamburajacksonw@gmail.com
0 Reactions
3 Replies
2K Views
anampenzi nyumbani kwao ila kila 2kigombana anaomba msamaha 2narudiana na nimetoa mimba yake kwani nmeona hatuna future ila nampenda sana hyu mwanaume...kitandani najitahidi kumpa kile...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimeachwa na mke!nina watoto wawili ila huyu wa pili nina mashaka kama ni wangu!mke wangu amejitahidi sana kunioneshea kuwa sina changu ila nilikuwa nampotezea sana.Ameamua kuolewa kinyemela...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
ninatafuta mchumba mwenye miaka 20 hadi 24.mrefu mwenye fut 3.5 na kuendelea.din au kabila havizingatiwe,elimu kuanzia 4m 4.mawasiliano 0788040425.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana jf?mimi ni mwanamke wa miaka 31,naishi na virusi vya ukimwi,natafuta mchumba anaeishi na vvu kama mimi ili tufarijiane na tulinde wengine.Awe mkristo,kabila lolote na awe na shughuli...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom