Dada yeyote aliye dar!!!!

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
17,284
10,665
Mimi ni mwanaume nina miaka 30 napenda kuwa na rafiki yeyote aliye DAR ES SALAAM,dini yeyote,rangi yeyote,umri wowote,ila awe mwenye busara staki matusi pia awe ana uelewa na maisha asiye na majigambo!
 
Ili iweje tena kumpotezea mtu muda tu fanya mambo yako sio lazima sana,WENYE HIV O VIGEZO VYAKO WANAPATIKANA SIGIMBI ,DSM ONGEA HABARI YA MUJINI TU UTAELEWEKA !!
 
Ili iweje tena kumpotezea mtu muda tu fanya mambo yako sio lazima sana,WENYE HIV O VIGEZO VYAKO WANAPATIKANA SIGIMBI ,DSM ONGEA HABARI YA MUJINI TU UTAELEWEKA !!
Una uhuru wa kutoa mawazo yako na awazo yako yanaheshimiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom