mchumba anahitajika

myasis

Member
Apr 14, 2012
80
29
mm ni mvulana umri 25, elimu yangu ni chuo certificate ya bussness... kazi mfanyabiashara. nipo arusha. nahitaji msichana ambaye atakuwa mke wangu awe na umri kuanzia 20 hadi 22, tabia njema, msafi na anaejiheshimu. ni PM na unitumie namba yko ya cm
 
Miaka 25 unatoa tangazo la kutafuta MKE, wakati wa mwalimu mke bora alionekana ktk mazingira yetu.......Kwa njia hii unatafuta bora mke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom