Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Hellow friend,mimi ni msichana mwenye miaka 25,natafuta m2 aliyetayari kunioa. sifa awe na miaka kuanzia 27-33 awe na elimu kuanzia degree1 au mjasiliamali mwenye mapenzi ya kweli awe...
1 Reactions
21 Replies
13K Views
wanajf natafuta msicha mrefu mrembo msomi mkristo anayejiheshimu umri awe 18-26yrs. kazi yangu nimjasiria mali. karibun
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Mimi ni kijana ninayejitambua, natafuta mpenzi ambaye ataniondolea upweke nilio nao aliye tayari tuwasiliane sasa hivi.
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Najitokeza hapa maalumu kwa jambo moja tu, Natafuta mke mwema, mcha mungu, awe mfanyakazi na awe na umri wa kuanzia miaka 20 -26, aliye serious tu. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naitwa Dany nko Iringa natafuta mchumba wa kumuoa awe na umri wa miaka 18-24 awe mkristo kwa ambaye yuko tayar 2wasiliane 0769989922,0719979922
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima. Kama title inavyojieleza hapo juu, kifupi mimi ni kijana mwenye sifa zifuatazo; Nina umri wa miaka 27, ni university graduate, athletically si mrefu sana...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima. Kama title inavyojieleza hapo juu, kifupi mimi ni kijana mwenye sifa zifuatazo; Nina umri wa miaka 27, ni university graduate, athletically si mrefu sana...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Mimi ni kijana mwenye umri Wa miaka 27 natafuta rafiki Wa kike ammbae tukikubaliana tuwe wachumba. Nafanya kazi katika kampuni ya mawasiliano hapa Dar. Aliyeteyal ani Pm
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Natafuta mwanamke jamani, upweke umenizidi, ambaye yupo serious ani pm
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari waungwana, I am 25 kwa umri. A girl, looking for a serious relationship, am a banker, 2 yrz in work, alie serious tafadhali ,ready kwa kuanzisha uhusiano wa kudumu, na kulifikia lengo la...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, hivi linapokuja suala zima la kutafuta mke au mume dini huwa haizingatiwi? maana kuna matangazo humu huwa yananishangaza, unakuta mtu anabandika katangazo cha kusaka mke/...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye miaka 34 natafuta mchumba mwenye sifa sifuatazo kwanza awe mcha mungu pili elimu ya kawaida tu asiwe mlevi.mwenye kubadilika kutokana na wakati. Mwenye kupenda maendeleo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Natafuta mwanamke ambye akotayari nime mahaba motomoto naye anipe pesa.tafathali matusi sitaki maisha ni yangu.
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Mimi in kijana wa Kitanzania na tafuta msichana wa kuoa tukiridhiana awe dini yeyote awe mywaji kidogo elimu Form six, chuo. Aliye tayari ani PM tutawasiliana zaidi popote alipo nitamfuata
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Natafuta mke mwema, mcha mungu mlutheri, mchagga, mweupe, awe anashughuli zake binafsi au ameajiriwa, awe na elimu ya kidato cha 4 tu na si zaidi. Awe tayari kuanza maisha kuanzia ngazi ya chini...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nna miaka 27 natafuta mchumba mwanamke mwenye akili ya kawaida tu ya kuwa mama...ataevutiwa ni pm Mawasiliano tulidhiane tufanye maisha
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu bado kupata natafuta mwanamke niwe nakutana nae siku za wee end natanguliza shukran
0 Reactions
1 Replies
981 Views
  • Closed
Mimi ni mdada nina miaka 32 natafuta marafiki wa ukweli wa jinsia zote wenye umri kati ya miaka 32 na kuendelea nafanyakazi, Naishi dar tuwasiliane kupitia bintiwakikwere@gmail.com
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Me nipo dsm vigezo awe mkristo umri miaka 18 had 20 pia Elimu kidato cha 4 had cha chuo mwaka wa kwanza by then am 21 yrs old ukiwa tayar ni @pm
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 38 na elimu yangu ni shahada natafuta rafiki wa kike kuanzia miaka 33 kwa ajili ya kubadilishana mawazo ya kimaisha. Masuala ya ngono hapana. aliyetayari ani PM.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom