Natafuta mke mwema

Natafuta mke mwema

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,651
Reaction score
27,286
Natafuta mke mwema, mcha mungu mlutheri, mchagga, mweupe, awe anashughuli zake binafsi au ameajiriwa, awe na elimu ya kidato cha 4 tu na si zaidi.

Awe tayari kuanza maisha kuanzia ngazi ya chini kabisa, awe na urefu wa wastani, asiwe mtu wa kimbelembele au kujifanya much~know mwenye sifa hizo ani pm imediately nawasilisha
 
subiri aachike
mke mwema anatatoka kwa bwana
 
Natafuta mke mwema,mcha mungu mlutheri,mchagga,mweupe,awe anashughuli zake binafsi au ameajiriwa,awe na elimu ya kidato cha 4 tu na si zaidi, awe tayayari kuanza maisha kuanzia ngazi ya chini kabisa,awe na urefu wa wastani,asiwe mtu wa kimbelembele au kujifanya much~know/mwenye sifa hizo ani pm imediately nawakilisha!!!
Mkuu Nikas Jembe, asante kwa tangazo lako la kutafuta mke!, nakushauri kama uko serious, kalibandike tangazo hili kwenye mbao za matangazo kule kanisani kwako!, unaweza kubahatisha!.

Asante.

Pasco
 
Ingia face book leo leo unapata jiko. Angalia usibambikiwe maana umeyataka mwenyewe. Atakuja bar maid au jitu lililo tumiwa na Vijana wa zamani wa Dar mpaka mobile/buzz/tigo ametoa halafu unakua LAUGHING STOCK
 
mbona wapo kibao huko mitaani kwenu
 
wengi hawataki suala la kuanzia ngazi ya chini kabisa "ground zero" mshahara wangu ni 180,000/-(sijui ndio watakimbia mungu wangu)lakini bora niwe mukweli!
 
nenda chanika kuna wanawali kibao wapo majumbani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom