Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Dj faster

Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
70
Reaction score
45
Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima.
Kama title inavyojieleza hapo juu, kifupi mimi ni kijana mwenye sifa zifuatazo;
Nina umri wa miaka 27, ni university graduate, athletically si mrefu sana wala mfupi sana relatively, na skin colour ni maji ya kunde, na ni mwenye kuuishi Uislamu wangu.
Namtafuta mchumba (Binti) mwenye sifa zifuatazo;
Awe ni moslem aneye-uishi uislam wake (Should not be a nominal moslem), awe na umri kati ya 21-26, na mwenye elimu angalau kidato cha sita.
Athletically, awe na stunning looking, maji ya kunde au white one,awe ni mkweli na muaminifu in all her walks kama nilivyo mimi.
Aliye na sifa na utayari pia, ani-pm
Shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom