Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wazi.
Kwa jina naitwa Milembe Anthony-24 yrs.
Pia ni mawanafunzi wa shahada ya kwanza katika elimu na utawala chuo kikuu cha mzumbe kampasi kuu Morogoro...
Habari
Naitwa Nelson Richard wa Arusha, ni kijana mcheshi, mwenye bidii na ninaye heshimu watu.
Nina elimu ya chuo na kazi ya ofisini. Kutokana na majukumu ya kazi nakoswa muda wa ku-mingle...
Habari wadau, Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiishi peke yangu na sasa natangaza rasmi nahitaji mke humu ndani nipo Mwanza nina 30yrs nimeajiriwa nahitaji mwanamke anayejitambua asiwe mnene...
Habari!
Naitwa Nelson Richard wa Arusha, ni kijana mcheshi, mwenye bidii na ninaye heshimu watu. Nina elimu ya chuo na kazi ya ofisini. Kutokana na majukumu ya kazi nakoswa muda wa ku-mingle hivyo...
Hi all, I'm a single gentlemen, social, energetic, hardworker with vision hereby looking for a single lawyer to initiate a relationship with intention to create a Domestic relationship. The...
Umri wangu ni kati ya miaka 35 na 45 pato langu kwa mwaka ni kati ya tsh 30m na 60m natamani kupata dada/mama ambaye hataona shida kupata nae mtoto moja tu.
Nataka atakeyependelelea awe na kazi...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ni mwajiriwa serikalin natafuta mke wa kuoa . Kwa sasa nipo mwanza kikazi
Sifa
Mwislam na mcha mungu
Umri 20-29
Kabila rangi sibagui
Elimu kuanzia form...
Staki kuzubaa miye. Nami natafuta. Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa marafiki kwanza halafu polepole kuhamia kwenye uhusiano wa kimapenzi.
Papara staki. Nataka kwenda tartiibu.
If interested...
Natafuta msichana na mie kwa urafiki kwanza, na tuki click, tutaanza mapenzi. Naishi nje ya Tanzania ila ningefurahi kama wewe unaishi Tanzania, tunaweza kutembeleana nilipo au ulipo wewe. Sichagui.
Wadada wa JF mnanichukia hivyo au kwa sababu ya post zangu za kuwananga ,huwa nawatania tu maana nimepost kutafuta mke humu naona mnapita kimyakimya no like no reply no PM msinifanyie hivyo...
Mimi Ni Kijana Mwenye Miaka 24
Natafuta Msichana Wa Kuoa mwenye Sifa Zifuatazo.
1.Umri Ni Kuanzia Miaka 18~22,
2.Awe Na Tabia Nzuri
3.Asiwe Anapenda Sana Pesa
4.Asiwe tapeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.