Nna miaka 27 natafuta mchumba mwanamke mwenye akili ya kawaida tu ya kuwa mama...ataevutiwa ni pm Mawasiliano tulidhiane tufanye maisha
Mkuu embu tufafanulie "CRIOUS" ndo nini!?, mana uniacha kwenye tuta!
Nna miaka 27 natafuta mchumba mwanamke mwenye akili ya kawaida tu ya kuwa mama...ataevutiwa ni pm Mawasiliano tulidhiane tufanye maisha
Huko Crios ulikosema upo ni nchi au mkoa gani nikufate? Mi akili yangu inatosha kuwa mama tu naamini utalidhia.
akili ya kawaida ya kuwa mama?
Yap... sihitaji genious nna m nataka mahaba tu
Kichwa cha kuku milele hakibeb mzigo... kuna watu kibao wapo umu na facebook wamo... so Usicrem kila mzungu padre wengne wataliii
Uandishi tu wa mjini ila mpaka saiv we hufai coz unafatlia makosa madogo sana m bnadamu so Makosa madogomadogo kama ayo kawaida we chuna tu ckuhitaji