Natafuta mwanamke jamani, upweke umenizidi, ambaye yupo serious ani pm
toa maelezo kamili kuhusu ww na huyo unaemtafuta
Natafuta mwanamke jamani, upweke umenizidi, ambaye yupo serious ani pm
Kama kuna ambaye yupo serious ani pm tuzungumze
Deadline ya nini, kwani sijui lini nitampaka, mi natafuta mpaka nitakapo mpata ndio deadline