Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Naitwa devi,natafuta mpenzi(girlfriend) kati ya miaka 18 hadi 30. Nina kazi na najitegemea number yangu 0718949593,ni beep nitakupigia.
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Kwa binti aliye tayari tu kuolewa na mwenye kazi iwe ya Ualimu, Nurse au kazi yoyote halali namkaribisha sana. Awe serious tu katika hili, aliye tayari ni-PM. Hii ni kwa mabinti/wanawake tu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari. Kwa moyo mweupe kabisaa bila kulazimishwa na mtu yoyote, nimeamua kupost huu uzi hapa nikiamini ntakuwa faraja kwa mmoja wa wahusika hawa. Mwanaume ulieumizwa kimapenzi au kukosa furaha...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
@Arusha,baba mngoni, mama mchagga. wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time...
23 Reactions
409 Replies
54K Views
Nina miaka 45,nina nia thabiti na ya kweli kabisa,nipo hapa natafuta mke ambae yupo tayari kufunga ndoa.Sina ubaguzi wowote,mwanamke ninaemuitaji awe na dhamira ya kweli kufunga ndoa na si...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke awe na umri wa miaka 20 mpaka 35. nitampa mapenzi moto moto, sibagui dini wala kabila wala upande wa muungano atokao. wala mkoa. taratibu za kujitambulisha tutazifanya baada ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutana na kijana anayependa wanawake wanene hapa. Uwezo wa kumtosheleza ninao. Nitafute hapa 0757191544 Nipo DSM.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Nahitaji mwanamke wa makamu, (40-/40+), mwenye upweke, aliyeko tayari aingie pm aniachie namba. Kama ni mjane au umeachika itakuwa poa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Binti kuanzia miaka 20 kuendelea anayetaka kuingia katika mahusiano ani pm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume age 26 mkiristo na msukuma ninaishi dar hadi mwakani mwezi wa tatu. Msichana aliyesiliazi, mkristo. Age 27 aliyepo single elimu form 4-bachelor. Askari na manesi siwataki...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Hi! naitwa Jaffery Adam, ninaumri wa miaka 21. Natafuta rafiki wa kike, awe na miaka 19-23 awe mwembamba kiasi. hatakama hana kazi, awe na upendo wa kweli. ukiwa tayari unanipata kwenye no...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima. Kama title inavyojieleza hapo juu, kifupi mimi ni kijana mwenye sifa zifuatazo; Nina umri wa miaka 27, ni university graduate, athletically si mrefu sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani hata mimi nahitaji mwanamke wa kuoa niliyokuwa naye alikuwa matumizi ya hapa na pale kama burudani. Nipo serious na hii ishu ya kuoa maana nimechoka kuibaiba visivyo halali. SIFA ZA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa niaba ya Rafiki yangu Othman, natoa nukuu ifuatayo kwa kinadada. Ninatafuta Mchumba muislamu mwenye kati ya umri wa miaka 23 hadi 2, awe na sifa zifuatazo: Muislamu wa kweli, mwenye heshima...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kijana wa miaka 23 Natafuta girlfiend wa miaka 18~23 PM me if u ar ready
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I need a girl for marriage 18~22 Contant me 0756519684
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni kijana umri miaka 24, natafuta mrembo humu ndani. Vigezo. •Umri kuanzia 18~22 •Awe mrefu wa wastani ila sio sana , na hata ukiwa mfup kama kistur sio mbaya •Awe mweupe natural...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni kijana,mwenye umri wa miaka 32, mtanashati, muelewa, mwajiriwa wa serikali. Natafuta mwenza wa kike ambaye atakuwa mke wangu, awe at least Diploma level and above, awe mweupe kiasi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wanaJF natafuta msicha mrefu mrembo msomi mkristo anayejiheshimu umri awe 18-26yrs. kazi yangu nimjasiria mali. NiPM
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau na hasa wadada warembo wa MMU,poleni na majukumu.i'm not an active member of this site,just logged in for a special mission. I'm tired of of this lonely life, so i have come here to look...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Back
Top Bottom