Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Najitokeza hapa maalumu kwa jambo moja tu, Natafuta mke mwema, mcha mungu, awe mfanyakazi na awe na umri wa kuanzia miaka 20 -26, aliye serious tu.
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28 mfanyakazi na elimu yangu ni degree.
Awe na Elimu kuanzia form 4 na kuendelea Na awe serious tu.
Kama wewe siyo mwanamke/binti please! usini-PM-
Aliye Tayari Ani-PM.