Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

Kazegunga

Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
58
Reaction score
3
Mimi in kijana wa Kitanzania na tafuta msichana wa kuoa tukiridhiana awe dini yeyote awe mywaji kidogo elimu Form six, chuo. Aliye tayari ani PM tutawasiliana zaidi popote alipo nitamfuata
 
We hujui kutongoza tafut mitaan hk,unataft demu kwny mitandao y kjamii kwel kabsa nafikir haupo sawa,angalia utampata jambaz au jini.
 
Mimi in kijana wa Kitanzania na tafuta msichana wa kuoa tukiridhiana awe dini yeyote awe mywaji kidogo elimu Form six, chuo. Aliye tayari ani PM tutawasiliana zaidi popote alipo nitamfuata

talk of the thread....
 
watu wazembe wa kufikiria sana mtu kutafva mchumba mitandaoni et ni domo zege sio kweli now thngs are simplyfyd kama unaweza nunua gali mtandaoni ushindwe kutafuta mchumba mtandaon? Aaah achen uvivu.
 
Mwanamke kwako ni chombo cha starehe na ndio maana unamfananisha gari linalotengenezwa na mtu.
 
ajabu la 9 la ulimwengu hili.
 
Mwanamke kwako ni chombo cha starehe na ndio maana unamfananisha gari linalotengenezwa na mtu.

uzembe mwingne huu hapa. Kwana wanaotafuta wachumba magazetini au hata redioni au hata humu mitandaoni ni ni wanaume tu. Au ulitakanifananishe na nini ndo ulidhie dont get low your selv am hereby respecting womem and i lov them and i do so for you.
 
kuna uzi hum jamaa anasema sasa anasumbuliwa na wadada but not proved. Et baada ya kutangaza anatafuta mchumba so be warned not warmed.
 
uzembe mwingne huu hapa. Kwana wanaotafuta wachumba magazetini au hata redioni au hata humu mitandaoni ni ni wanaume tu. Au ulitakanifananishe na nini ndo ulidhie dont get low your selv am hereby respecting womem and i lov them and i do so for you.

Huwa sielewagi kuwa mtu amekosa mwenza angle zote huko.Labda ni last alternative inakuwa.

Endelea kuwaheshimu
 
thanx. Unajua kawaida iko hvi mng'atwa wa nyoka hata unyasi ukimgusa anaruka. Sio wote wanania mbaya baadhi tu na hatujui labda na huyu. It z narrow way to know.
 
Kwa upande wangu nashindwa kuielewa hii hali....anyway let it be kwa hao wanaona ni best way ya wao kupata wenza.
 
tumetofautiana sana na amini usiamini tafauti zetu ndo zinatufanya tunaweza kuishi chukulia kama waowaji wote au watafutauchumba wote wangekuja kutafuta wachumba hapa jf si ingekua vurugu? Vivo hvo huko mtaani ko acha wengne watafutie humu wengne mtaani na ndo faida ya kutofautiana na tofauti yangu na yako ndo imetufanya tuweze kuwekana sawa kimawazo na ndo raha ya tofauti pia. OK.
 
Back
Top Bottom