Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

ambiliki

Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
80
Reaction score
46
Mimi ni kijana mwenye miaka 34 natafuta mchumba mwenye sifa sifuatazo kwanza awe mcha mungu pili elimu ya kawaida tu asiwe mlevi.mwenye kubadilika kutokana na wakati.

Mwenye kupenda maendeleo disko hapana sitarehe zisizo za mahana hapana.kabila lolote.kama yuopo tayari acha namba au mawasiliano yoyote tutafutane.awe mwanamke mrembo
 
Mwenyw hujui ata kuandka vzur cjui kama utakuwa na ngekewa hata kidogo

madem wa type yako wapo endlea kusubri atakuja mpaka mageton mwenyw akupe utakacho bureee.
 
mtena nawe umerudia kosa hilo hilo
 
Last edited by a moderator:
Mwenyw hujui ata kuandka vzur cjui kama utakuwa na ngekewa hata kidogo

madem wa type yako wapo endlea kusubri atakuja mpaka mageton mwenyw akupe utakacho bureee.

Mijitu mingine bwana sasa wewe umeandika nini hapo?unamtoa mwenzako kinyesi wakati wewe kimekutapakaaa aibu yako
 
Kwa ushauri mke bora hatafutwi kwenye mitandao ya kijamii
Dogo jifunze
Utaangukia pabaya
 
Mimi ni kijana mwenye miaka 34 natafuta mchumba mwenye sifa sifuatazo kwanza awe mcha mungu pili elimu ya kawaida tu asiwe mlevi.mwenye kubadilika kutokana na wakati.

Mwenye kupenda maendeleo disko hapana sitarehe zisizo za mahana hapana.kabila lolote.kama yuopo tayari acha namba au mawasiliano yoyote tutafutane.awe mwanamke mrembo

Unataka mwanamke mrembo halafu asiende disco? Huu ni utani sasa.

Ngoja niwafundishe wanawaume wakristo wanaotafuta wake wa kuoa serious, nenda kwa mchungaji kama kama Athony Lusekelo a.k.a mzee wa upako a.k.a Transfoma a.k.a chuma cha reli a.k.a Katapila anayo ya wanawake wote wanaomfuata kwa ajili ya maombi ya kutafuta waume, mpe fungu la 10 akulengeshe mwanamke anayehitaji mume na wala usilete porojo nyingi mueleze dada mimi niko single natafuta mke na roho mtakatifu ameniongoza kwako. Fullstop demu achomoi unless labda una sura kama gari la jeshi na shepu kama pimbi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom