Mimi ni kijana wa miaka 38
na elimu yangu ni shahada natafuta rafiki wa kike kuanzia miaka 33 kwa
ajili ya kubadilishana mawazo ya kimaisha. Masuala ya ngono hapana.
aliyetayari ani PM.
Mimi ni kijana wa miaka 38
na elimu yangu ni shahada natafuta rafiki wa kike kuanzia miaka 33 kwa
ajili ya kubadilishana mawazo ya kimaisha. Masuala ya ngono hapana.
aliyetayari ani PM.
umeoa?
uliachana na mkeo au kufiwa? Una watoto labda?hapana cjaoa
uliachana na mkeo au kufiwa? Una watoto labda?
Kama yote hapo juu neh, kimeo
Ndio gia yake huyo!