mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Habari zenu wakuu,
hivi linapokuja suala zima la kutafuta mke au mume dini huwa haizingatiwi?
maana kuna matangazo humu huwa yananishangaza, unakuta mtu anabandika katangazo cha kusaka mke/ mume halafu anasema sichagui dini! hii imakuwaga kweli hamchagui dini au huwa mnatafuta tu watu wa kuwachezea au kuchezeana?? au mnaobandika hivi mnakuwa hamna dini?
Hii inadhihirisha kiasi gani mnaotafuta mke/ mume/ mpenzi humu mnakuwa mnaonekana kama mnaleta utani na ndio maana baadhi ya members wanawapa maneno ya kejeli.