wapendwa habari zenu,mie ni kijana wa kiislamu mwenye umri wa miaka 25,nilikuwa natafuta msichana wa miaka kati ya 2O hadi 23 awe ni mwislamu.Elimu kuanzia kidato cha nne au sita na awe na ujuzi...
Jamani bado sijachoka kutafuta mwenza mwenzangu wa maisha, Walimu wa kike kama mmo humu karibuni sana, na hata kama si mwalimu nawakaribisha sana, ila awe mwembamba na mrefu wastani, mwelewa, na...
Naitwa Godfrey wa Mbeya Tanzania natafuta mchumba wa kuoa,nna umri wa miaka 25,ni muajiriwa,dini yangu mkristo.Mchumba nnaye mtafuta yeyote mwenye mapenzi ya kweli anitafute kwa...
Educated to diploma level and above,polite,any religion,mweupe kiasi,ur have a good shape!! hips, round shaped big booty ! good behavior ! u look smart always ! u know how to dress ! age from 22...
mm ni mwanamke nasoma chuo flan hivii hapa tz natafuta mwanaume wakunioa awe ameenda age,awe na kazi yaan kiufup awe anajiweza,mm nina mtoto mmoja wa kiume if u are serious karibu kama sio...
Kwanza nawasalimu.
Najitokeza hapa kutafuta mwanamke wa kuoa aliye tayari, awe na mwili wa wastani tu au mwembamba mrefu wa wastani tu, awe ameajiliwa, Elimu kuanzia form 4 na kuendelea...
Naitwa Geofre wa Mbeya nna miaka 23 natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa zifuatazo,awe maji ya kunde,mnene kiasi,mrefu kiasi,awe na mapenzi ya kweli pia awe anajali upendo wake.kuhusu mimi nna...
Upweke umenishinda jamani natafuta rafiki kwanza mapenz yatafuata badaye kama kila m2 atampenda mwenzake tena upendo wa kweli(MUME WA MTU NA ULIYE NA MPENZI HAPA HAPAKUUSU WE PITA 2 NI KWA WALE...
Mimi ni mwanaume 30yrs baada ya kutoa mada hapa JF kuwa Mke wangu Ana papuchi kubwa.
Amekamata simu yangu na kusoma comment baadae Ameniacha kabisa na kuondoka na House girl.
Sasa sina papuchi...
da! upweke umenishinda minatafuta rafiki kwanza mapenz yatafuata badaye kama kila mmoja ata mpenda mwenzake tena upendo wa kweli (KAMA UNA MKE AU UNAMPENZ APA HAPAKUUSU NI KWA WALE WALIO SINGLE)...
Mimi Ni Kijana Wa Kiume,nina Miaka 27,elimu yangu ni Diploma, mimi ni mkristo, ninatafuta mchumba wa kike, sura ya kawaida, mkristo, elimuyoyote, umri asizidi miaka 26, tuwasiliane kupitia 0763175935
mimi sina kitu kwa sasa ila napambana na maisha, natafuta rafiki wa kike ambaye nitakuwa naye bega kwa bega katika kushirikiana naye katika kutafuta na ikiwezekana muda ukifika basi tunaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.