Jamani mwezenu natafuta mchumba

Jamani mwezenu natafuta mchumba

unamaanisha chumba cha kupanga futi 23 kwa 30 kitakuwa kikubwa sana ndio maana ukakiita mchumba ,tafuta chumba cha kawaida
 
Hahhaha jamani watu munajua kujibu lol....
 
hivi mnafahamu kuna wakati mwingine watu huwa wanatafuta kweli, sema wengi wao huleta masihara ndo maana walio serious tunawabeza. mbona kuna watu wanamtuma kaka,dada,rafiki, watafutiwe mke na wanaoa kabisaaa
 
kiruuuuuu... kumbe wako serious??? mi sina habari
 
Kijana unaweza kuwa serious kweli lakini kwa haya maelezo yako sidhani kama wadau watakuelewa,hayajitoshelezi,jieleze vizuri utapata tu,wapo wengi wanataka kuolewa.
 
Natufuta Mke
Khaaaa!!! Kumbe we ni me!! mbona unajilegeza hivyo??? Eti " jamani mwenzenu natafuta mchumba" nilivyoona kichwa cha habari nikafikiri dame! We mtoto wa kiume Hebu kakamaa. Hayo mambo ya "jamani mwenzenu mie" waachie dada zako. Sema natafuta mchumba. shauri Yako mjini hapa.
 
Ungesema tu unawataka wa JF ina mana wa mtaani kwenu hawafai , wa barabarani je vipi pia hata ulio soma nao na vipi huna marafiki wa kike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom