Wife material

Wife material

Kakakuona

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
345
Reaction score
201
Wife material anahitaji.
SIFA:::::
Ni PM nikwambie..

Kuhusu Mimi.
1. Umri 29
2. Elimu: PGD
3. Nimeajiriwa

N.B Mke tegemezi hapana.
 
Mke tegemezi hapana??!! yaani wewe unataka ready made tu hutaki wa kumtengeneza mwenyewe akawa "mke tegemewa"
 
Kwann atengenezwe? nahuku uwezo wa kujitengeneza mwenyewe anao??
Ndio maana chuma cha reli ameuliza Tegemezi unamaanisha nini? maana unaweza ukamkuta mtu ameajiriwa ukasema huyu sio tegemezi kwa kuwa anajitegemea alafu baadae akapigwa chini akawa jobless hapo itakuaje? (niliposema anatengenezwa maana yake hata kama yatakwenda kombo atakuwa na sifa ambazo kwa pamoja mkitulia mnaweza mkafanya kitu au anaweza akawa hana ajira kwa sasa ila kwa kuongea nae unaona kabisa ana kitu anataka kufanya ila mambo tu hayajakaa sawa ndio hapo concept ya kumtengeneza)
 
Last edited by a moderator:
Tegemezi...ebu wataalam Wa kiswahili...waje wanifafanulie..maana mke ndio wakuongeza ukoo sasa tegemezi amekuwa dolly..navojua watu wakioana wanategemeana..
 
Tegemezi...ebu wataalam Wa kiswahili...waje wanifafanulie..maana mke ndio wakuongeza ukoo sasa tegemezi amekuwa dolly..navojua watu wakioana wanategemeana..

Hiyo ni maana yako, Mimi pia ninayo yangu so wenye kuelewa wameshaelewa hakuna msamiati hapo neno lipo wazi na linajielewa lenyewe..
 
All the best mie wa darasa la 7 hapa hapanifai

Njoo kwangu jamani mie hata darasa 6 sibagui kwani thamani ya uanamke wako ipo pale pale, kwani kwenye kugegedana standard 7 ni tofauti na wengine, elimu ni man made hivyo njoo kwangu nitakulipia QT miaka miwili tu unakuwa una elimu ya sekondari
 
Wife material anahitaji.
SIFA:::::
Ni PM nikwambie..

Kuhusu Mimi.
1. Umri 29
2. Elimu: PGD
3. Nimeajiriwa

N.B Mke tegemezi hapana.

yaan jf leo kumekuchakila mtu anatafta,kila la kher
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom