Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Ntumai mu wazima wa afya wana jf, mimi namshukuru Mungu niko safi. Ni kwa muda sasa nimekuwa sionekani kuchangia mada yoyote katika jukwaa lolote, ni kutokana na majukumu ya hapa na pale. Ndugu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamvi,nimerudi tene kwa ajili ya kutafuta mchumba/mke baada ya mwaka jana kuja hapa na kuweka post ya kutafuta mke nilipata kuwasiliana na wasichana wawili ila hatukufikia popote coz...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Awe na vigezo hivi mrefu, maji ya kunde na awe ameokoka
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Am a foreigner,looking for a girl just for friends.there are benefits.just pm me for more.
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37,natafuta girlfriend ambaye atakua mchumba na baadaye mke wa ndoa,awe na umri kati ya 26-35 asiwe kibonge wala mfupi saana,mkristo lakini kabila na rangi wala...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wandugu. Itakumbukwa siku chache zilizopita nilikuja humu kuomba ushauri baada ya kutoswa na mwanamke ambaye tulishafikia sehemu nzuri katika mahusiano yetu. Kwanza napenda kutumia nafasi...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Wa jf heshima zenu. Natafuta mchumba ambaye badae atakuja kuwa mke wangu.Awe ni binti mwenye heshima na upendo, awe na mwili kidogo, ila asiwe mfupi wala mrefu, asiwe askari wa jeshi lolote.Akiwa...
0 Reactions
4 Replies
988 Views
Nichukue nafasi hii kuwashukulu wana jf! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ninatafuta mchumba aliye serious ambae siku za usoni tutakua mke na mume. Baada ya kuachana na yule...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Kama wewe ni mwanamke mpweke waitaji kijana wa kukuliwaza kwenye life niko hapa sasa hii ni ofa na wa kwanza kuwahi ndio huyohuyo ntakae kua nae VIGEZO NINAVYOTAKA umri miaka 27 mpaka 50 uwe...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
heshima kwenu wakuu,mm ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nahitaji mke wa kuoa aliye serious na uhusiano,dini,kabila na elimu si kipingamizi,first priority itatoka kwa mwanamke mwembamba sana,mm ni...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
natafuta mke miaka 25-32. nina miaka 33, kimo 158, nina watoto 2, elimu chuo. kwa aliye tayari tuwasiliane kwa pm, sina mke din mkristo.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Natafuta mwanamke aliyetayali kuolewa na awe na vigezo vifuatavyo: 1.Elimu kidato cha nne na kuendelea,2.Mwenye hofu ya Mungu,3.Umri miaka 25-30,4.awe ameajiliwa au mjasiliamali shwari tu, 5.Rangi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu Ndugu zangu? Kwanza nafuraha kuwa mahala hapa, Mimi ni Mvulana wa miaka 29, nimeamua kutafuta mwenza wakuishi naye, ili nianze maisha mapya kabisa ya uraiani baada kutoka jela tarehe...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi guys I am a reserved kind of a common man, somehow Outgoing and a bit funny as well. I have a longing in me to have a lady company to share stuffs, challenges, get more insights on women and...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Uwe Maeneo ya Morogoro mimi sijawahi kuoa. Ni PM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu mu-wazima nyoote kwa pamoja. Mimi ni kijana aged 28 years old na pia ni degree holder being attached at somewhere kimajukumu. Lengo mahsusi la uandishi huu ni kutafuta mchumba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maisha na huyu mke wangu yamenishinda kabisa, ila bado nahitaji mahusiano na mwanamke. Natafuta mwanamke ambaye hana mume kwa sasa umri above 27yrs ili tuanzishe mahusiano, umri wangu ni >27 <...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni mvulana wa miaka 26. Nina elimu ya kawaida, Shughuli zangu ni Biashara na ufundi. Ni mkristo,natamani kuoa ila bado sijampata mwenye target kama zangu that way nko hapa kutafuta mwenye...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Natafuta mchumba aliyeko Dar es salaam aliyetayari naomba tuwasiliane mara moja
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom