Rafiki

Rafiki

Dongola

Senior Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
122
Reaction score
15
da! upweke umenishinda minatafuta rafiki kwanza mapenz yatafuata badaye kama kila mmoja ata mpenda mwenzake tena upendo wa kweli (KAMA UNA MKE AU UNAMPENZ APA HAPAKUUSU NI KWA WALE WALIO SINGLE) awe mkristo umri usiozidi 28 wala usiwe chini ya 26 mm ni ke nina miaka 24 mjasiriamali mdogo. kufahamiana zaidi ni PM kwa aliye serious.
 
Heeee. mtaani kooote umekosa unaamua kuja kutusumbua mtandaoni. labda uweke picha kwanza
 
Haya nimekubali mim nicheki majira ya jioni pale club la mutu moya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom