natafuta mchumba 28 to 45

natafuta mchumba 28 to 45

zailolly

Senior Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
116
Reaction score
75
mm ni mwanamke nasoma chuo flan hivii hapa tz natafuta mwanaume wakunioa awe ameenda age,awe na kazi yaan kiufup awe anajiweza,mm nina mtoto mmoja wa kiume if u are serious karibu kama sio usijisumbue.
 
mie najiweza mtoto ana miezi mingapi? Ila nahofia babake anaweza kuja kutusumbua! ila namiaka 22
 
mm ni mwanamke nasoma chuo flan hivii hapa tz natafuta mwanaume wakunioa awe ameenda age,awe na kazi yaan kiufup awe anajiweza,mm nina mtoto mmoja wa kiume if u are serious karibu kama sio usijisumbue.
mwanaume anaweza kuwa na kazi lakini hilo la kujiweza (hapo kwenye red) sijakupata vema! nipe reference au baseline ya kujiweza iko vipi? awe na nyumba na gari na akaunti yenye milioni kadhaa au ni aje? maybe I could be the 'one' suitable for you!
 
We unamiaka mingap

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
baba wa mtoto wako yuko wapi? na we una sh.ngapi benk?
 
Tuwasiliane bibie.....Mi nina miaka 33, ni mfanyakazi wa serikali, idara ya afya...Nina gari, nyumba ya kuishi, shamba (NADHANI NAJIWEZA), pia nina mtoto mmoja.
 
Ndio maana midume kote huko ulikopita haikupendi mpaka unakuja huku kututafuta, na kuzaa neno zuri au jina lako zuri ni used, na inaonesha dhahiri we ni mwanamke pesa, nani awe ana pesa atake used? wakat street kuna vichipukiz kibao hivi vilivyopata mazero vya kumwaga, mtu anaejiweza kiuchumi aanze kuhangaika na mzazi kama wewe tena una mashart kibao,aache hata mafest yia kibao wa vyuo, we subiri watu wangu waku-PM waje kukukwarua ili wakuachie mawazo au kitoto kingine, ama sivyo change au edit ombi lako.
pole kwa yatakayokusibu muda si mrefu.
 
Ushauri mzuri sana japo mwenyewe hatoupenda
 
Mh jamani, mbona ukali hivyo?
Yeye ana mtoto na nimwanafunzi sasa akipata mume asiye na uwezo watamleaje huyu kiumbe wa mungu?
Labda aliyemzalisha hataki kulea.
So anamtafutia mwanwe baba ambaye ataweza mlea.

Mpeni nafasi hivyo vicheche manvyosema unused vimeshusha engine mara tele na nivikongoro, heri huyu ameshusha once anaonekana si mjanja wa mujini na akipata atatuli.
 
Don mind mkuu black bat coz hata dawa inayotibu vizuri huwa chungu, na kibinadamu huwa hatuzipendi, kumbuka pains za sindano au hata liklorokwin hadi skio linaziba ila ndio dawa ya malaria, possibly kuna lugha kali nmetumia, ila kuna jambo nataka alielewe, poa mkuu.
 
Mh jamani, mbona ukali hivyo?
Yeye ana mtoto na nimwanafunzi sasa akipata mume asiye na uwezo watamleaje huyu kiumbe wa mungu?
Labda aliyemzalisha hataki kulea.
So anamtafutia mwanwe baba ambaye ataweza mlea.

Mpeni nafasi hivyo vicheche manvyosema unused vimeshusha engine mara tele na nivikongoro, heri huyu ameshusha once anaonekana si mjanja wa mujini na akipata atatuli.

Nata am sory kama lugha yangu imekuwa kali, ye alipo ana matatizo pale na usikute kashusha nae kibao, sasa hiyo ya mwisho alikosa mapene coz huyo si mtu wa K-pea? possibly mijanja ya mjini ikamrob sikuhiz mademu mnapewa sana feki na hata kurushiwa m-pesa hewa zen inacchomolewa, ye atafute penzi la kweli na sio pesa za ukweli, au umesahau pesa ni kisu zinakata kila sehemu, juzkat mi niliupata mpunga wa Bwn Kenyatta nikaja nao hapo dar pale ustawi nimekula sana bata na wale watoto wa ustawi, unamwita anakuja na mwenzake kwaiyo leo yeye kesho mwenzake, hela na economy pawa we ziache bwana, hadi uku kwa waluo na masai wasafi wa kenya zinapendwa sana, sa ye used analeta mashart?
 
Tumekuzoea kwa kufungua account mpya kilia wiki ukiendelea ntakutaja hapa
 
Mmmh wanawake bana!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom