Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,652
- 5,634
wapendwa habari zenu,mie ni kijana wa kiislamu mwenye umri wa miaka 25,nilikuwa natafuta msichana wa miaka kati ya 2O hadi 23 awe ni mwislamu.Elimu kuanzia kidato cha nne au sita na awe na ujuzi wowote,mwenye kutekeleza vizuri ibada ya sala tano na nyingnezo,mengne tutajulishana.aliye tayari ani -Pm