Mwanamke aliye tayari tu

Mwanamke aliye tayari tu

Dont go away

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
501
Reaction score
208
Kwanza nawasalimu.

Najitokeza hapa kutafuta mwanamke wa kuoa aliye tayari, awe na mwili wa wastani tu au mwembamba mrefu wa wastani tu, awe ameajiliwa, Elimu kuanzia form 4 na kuendelea, Nasisitiza kuwa awe serious, anayejitambua, na mpenda maendeleo.

Mimi ni mwajiliwa, nina degree na maisha ya kati, Umri wangu miaka 29, yeye awe na umri wa miaka 20-26 tu, siyo zaidi.

Aliye tyr Ni --PM
 
Fimbo ya mbali haiui snake angalia kwanza wa street kwenu
 
Kwanza nawasalimu.

Najitokeza hapa kutafuta mwanamke wa kuoa aliye tayari, awe na mwili wa
wastani tu au mwembamba mrefu wa wastani tu, awe ameajiliwa, Elimu
kuanzia form 4 na kuendelea, Nasisitiza kuwa awe serious, anayejitambua,
na mpenda maendeleo.

Mimi ni mwajiliwa, nina degree na maisha ya kati, Umri wangu miaka 29,
yeye awe na umri wa miaka 20-26 tu, siyo zaidi.

Aliye tyr Ni --PM

these young boys of tanzania? eti awe ameajiliwa? mabilionea wote under this sun are not employed take note. kila la kheri
 
na wasi wasi na hyo degree yako kwa sababu ya upeo wako mdogo
 
Umepata degree ya maisha, hata kutafuta mwanamke haujui, vyooooooo! elimu ya tanzania naomba ikazikwe tu.
 
Back
Top Bottom