Upweke umenishinda jamani natafuta rafiki kwanza mapenz yatafuata badaye kama kila m2 atampenda mwenzake tena upendo wa kweli(MUME WA MTU NA ULIYE NA MPENZI HAPA HAPAKUUSU WE PITA 2 NI KWA WALE WALIO SINGLE) awe mkristo umri usiozidi 28 wala usipungue 26 mi ni ke nina miaka 24 mjasiriamali mdogo. kwa kufahamiana zaidi ni PM.