Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mi ni kijana wa miaka 28 Niko dar natafuta marafiki wa kike ambao tutakua tunachat na kubadilishana mawazo. Yule nitakae endananae tunaweza ata kua wachumba au wanandoa. Lakin tunaanza na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jamani kwa wale wadau wanao tafuta mchumba,hii ni site yenu! gonga hapa Online Dating at Swahili Singles asante
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Utamu wa maisha ni pale unapojua kuwa unahitaji maisha ya aina fulani. Japokuwa tunaumizana kila siku hiyo haipunguzi wingi wa harusi kila uchao kwenye majumba ya ibada na serikalini. Nami leo...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Wanaopenda kubadilishana mawazo ya kimapenzi, kimaisha my whatssup namba 0683386401 karibuni tuchat.jinsia yoyote.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi nikijana niliyejiajilia natafuta mwanamke aliyetayari kuishi na mimi katika shida na raha umri kuanzia miaka 18 na kuendelea awe na elimu kuanzia kidato cha nne aliye tayari anipm.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hellow,would like to have new mob friends,whose ever,put a comment..
1 Reactions
2 Replies
894 Views
natafuta rafiki wa kike ambaye tuje tuwe wanandoa,napatikana mwanza,ni muajiriwa serikalini na cjawahi kuoa wala sina mtoto sifa za ninae mtafuta -age 18-21 -maji ya kunde -mrefu -mnene...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Natafta mpenz wa kuwa nae,awe mwanamke,awe si super staa,pia awe na tabia nzur na asiwe tapel kwan cpendi kuumizwa.Napendelea wa umbo lolote,nko arusha!,anaweza kuweka namba hapa ntamcheki!
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Jamani MMU nahitaji mke mwema awe na sifa zifuatazo;bikra,elimu kuanzia form4,mkristo,mcha Mungu,mrefu kiasi,mweupe kias
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Warembo fursa hii hapa natafuta mchumba umri usizidi miaka 30 uwe mkwel ,mrembo / black beaty,mchapakazi ,elimu / willing to lean nd relocate to where im living ( uganda ) *sifa zangu elimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko na natafta mke.
1 Reactions
33 Replies
3K Views
I am a Tanzanian girl aged 21,am looking for someone to hold up my feelings,who will advice me in difficult things,who will treat me like his wife, the one who will stand by my side through thick...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Mimi Ni Kijana Mwenye Umri Wa Miaka 25. Natafuta msichana ambae tutafunga nae ndoa. Vigezo; Awe Na Umri Wa Miaka 18~23. Awe Na Tabia Nzuri
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Serious jmn,kama upo okay ni pm soon
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa love connect... Naomba mnipokee mimi ni mgeni jukwaa hili. Asante...!
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Warembo fursa hii hapa natafuta mchumba umri usizidi miaka 24 uwe mkwel ,mrembo,mchapakaz ,elimu,maji ya kunde kabila na prefer mchaga *sifa zangu elimu yangu chuo kikuu,mfanya biasharaa mdogoo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
What's up, all Kenyan women, I am Tanzanian youth with 32yrs, struggling for divorce or an unmarried woman with age 40+, with serious need of love, to a little bit she must be well-off...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman natafuta mke wa kuoa kisura umri 18-26 elimu sekondari hadi chuo kikuu mie nna elimu ya chuo. mwenye vigezo pm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mfincha upweke mawazo humiumbua kwa wanawake tu kwani wengi wasimbiliwao na upweke ni wanawake nawakarinisha ktk grup la ushairi ktk whasup waje pm kwa msaada zaidi
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Nahitaji rafiki wa kike kwa urafiki wa kawaida tu. Madhumuni hasa ni kuchat juu ya mambo mbalimbali ya maisha kwa ujumla (opportunities, professional, biashara, kilimo hususan cha biashara...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom