Hi everybody, natafuta Mwanamke ambaye tunaweza komaza mahusiano, umri 20 to 27 mm ni mkazi wa hapa tanzania for more than 12yrs sasa. origated from Tw. Unaweza PM.
Asante
habari za muda huu wana jf wenzangu,natafuta mpenzi ambae baadae ataweza kuja kuwa mchumba wangu na if possible kuja kuwa mke wangu
wasifu wangu,
ni mrefu(6.0 ft)
maji ya kunde,
umri wangu...
Jamani eehh wadada wa JF natafuta mwenzi hasa huku JF. Vigezo hivi vitatumika, ukikosa hata kimoja usipoteze muda wako nataka uwe navyo vyooote, full stop.
1. Mrefu zaidi ya futi tano na asizidi...
hi every body im tinoh from dar, looking for someone who in need to have a good husband ,I dont care concern color, age,tribe and face only I need is true love anyone anakaribishwa,
thanks...
Hi JF bila shaka mko poa na mnaendelea na majukumu ya kila siku.
Leo napenda kuuliza swali hili kama utakuwa na jibu naomba utiririke hapo kwenye comment.
Mimi huwa naogopa sana kutongoza hawa...
Ni kwa muda mrefu Sasa tumekuwa tukisoma wavulana wanahitaji girls humu JF. Hususan wamekuwa wakiweka vigezo maalum kama; mweupe, mwenye sabufa au kwa lugha nyingine sitting allowance, n.k...
Nahitaji mchumba wa kua naye kimahusiano ya kimapenzi
MASHARTI:
Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 27, mimi nina 25
Awe mrefu
Awe mweusi
Awe na matiti ambayo hayajalala
Awe na mwili wenye...
Mimi kijana mtanashati mwenye umri wa miaka 27,natafuta mke awe na elimu ya kidato cha 4 mpaka chuo. Dini Islamic,weupe,warefu na umbo LA kati nawahitaji sana. Tupia text 0755090831 kama unahusika
Natafuta mwanamke aliyetayari kuingia kwenye ndoa, aliyeserious tu ndye atakayejibiwa.
awe na sifa zifuatazo; mwenye umri kuanzia 24 mpaka 32. awe na elimu angalau ya sekondari. aliyeajiliwa...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea,mimi ni ke. Natafuta rafki wa kiume,awe na umri wa miaka 33-38,mkristu na mwenye hofu ya Mungu.Aliye tayari karibu.
Jamani mimi mwenzenu mpaka leo nimeshindwa kumpata huyu mwanamke ninayempenda sabbu hataki hata kuckia sauti yangu ila sasa nimeona bora nitafute mwengine kama yupo namuomba aje inbox.
Wapendwa,
Nitakuwa mtovu wa fadhila nisipotumia wasaa huu kuwashukuru wanajukwaa waliochangia kwa ushauri na mawazo mbadala juu ya bandiko langu la awali "Natafuta mwanamke Mpweke"
Hakika...
Natafuta mchumba(a girl) awe na mapenzi ya kweli....vigezo. Mkristo, mchamungu, mweupe naturally, mrefu wastani, mnene kidogo, hips za kubwa kmtindo, 18-20 in age, form 4-6 in education.if you are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.