Habari Wana Jamii Forums.
Kama title inavojieleza ni kuwa mie ni mwanaume mwenye miaka 32 na nahtaji mwanamke wa kuanza naye
maisha ya familia(mke na mme). Elimu yangu ni bachelor degree na ni...
NATAKA KUOA:
Naogopa majaribu, kuoa nimenuia.
Kwa kukwepa maswahibu, yaliopo kwenye ndoa.
Nimepanga taratibu, sifa za anae faa.
Natafuta wa kuoa, mdada alo na sifa.
Namtafuta bubu, awe na kiziwi...
Habari za uzima wakuu wa L-connect.
Mimi ni kijana ofcourse, age >24 and <27.Nahitaji mwanamke mrembo kutoka jamiiforums, umri wake uwe si zaidi ya miaka 28 na usipungue miaka 18.Napendekeza wote...
Mi ni mdada wa miaka 32, natafuta marafiki wanaojitambua wa jinsia zote wa kubadilishana nao mawazo wawe
na umri kuanzia miaka 33 na kuendelea.
Tuwasliane kwanza kwa Email...
Habarini mimi ni kijana nina miaka 40. Nina watoto wakiume watatu ni mfanyakazi wa serikali na pia ni mfanyabiashara.
Niliachana na niliyezaa nae miaka miwili iliyopita.
Tulishindwana na bahati...
Naitwa Geofre wa Mbeya Tz nna miaka 24 ni muajiriwa,ni mrefu,rangi maji ya kunde natafuta mchumba mwenye vigezo vifuatavyo.
1.Awe mweupe au maji ya kunde.
2.Awe mwembamba au mwenye...
Habari.
Mimi ni kijana miaka 25,natafuta mdada au mmama aliyenizidi umri kwani ndo nawapenda ni kijana nimeajiriwa na Elimu yangu Chuo kikuu awe na hela au asiwe na hela yote sawa ila awe...
Habarini.
Mimi ni kijana nina miaka 40 nina watoto wakiume watatu ni mfanyakazi wa serikali na pia ni mfanyabiashara,
niliachana na niliyezaa nae miaka miwili iliyopita.
Tulishindwana na bahati...
Mimi ni mwanaume natafuta mke mwenye makalio ya haja maana ndo ugonjwa wangu, pia kifua kisiwe kikubwa sana cha wastani. kama upo tayari njoo pm nikuweke ndani.
Mwaka mpya na mambo mapya. umri...
Nina miaka 31yrs, niko Dar es salaam, ni mwenyeji wa Mbeya,elimu ni O'level,mrefu 178cm, 75kgs, black, Mkristo KKKT, nafanya kazi na kuishi Dar es salaam. Ni muajiriwa Serikalini. H.I.V-tutapima...
Wadau connections international ltd. Imezidi kukua na sasa tumefungua ofisi Kigali, Rwanda na Kinshasa, Congo DRC.
Ukiwa na hitaji lililotajwa hapo juu.
Tuma wasifu wako kwa kuni-PM utapewa...
Mimi naishi Dodoma ,ni mfanyakazi wa Taasisi moja wapo ya Bunge la Tanzania ,sijaoa , ila niko na maisha ya kuridhisha sana nina gari mbili yangu na yake napenda kumwambia hivyo mchumba mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.