Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

KIDHEHA

Member
Joined
May 21, 2012
Posts
51
Reaction score
14
Habarini.

Mimi ni kijana nina miaka 40 nina watoto wakiume watatu ni mfanyakazi wa serikali na pia ni mfanyabiashara,
niliachana na niliyezaa nae miaka miwili iliyopita.

Tulishindwana na bahati tulikua hatujafunga ndoa tuliishi illegally so nimetafakari kwa sasa kuishi mwenyewe siwez nahitaji mke ila awe tayari kulea hao watoto awafanye kama wake awe ni mdada kuanzia miaka 25 mpaka 30mwenye elimu atleast degree moja.

Asiwe na mtoto na awe ni mdada ambaye hajawahi kolewa au kuchumbiwa kabila awe mchagga, mhaya,mnyakyusa,mgita,mzanaki,mmasai,mpare,mluguru,mhehe,msukuma au yeyote isipokua mrangi,mnyiamba,mmbulu.

Asanteni.
 
Kwa msukuma unajisumbua. hutopata labda wachaga
 
Degree holder mwenye miaka 25 aje alee watoto 3 wa nje ya ndoa.
Labda uwe na hela kama za mengi

Acheni kumkatisha tamaa, mbona wapo wengi tu. Anachotakiwa kufanya ni kupunguza masharti. Elimu haina nafasi ktk maloveee, vinginevyo awe anatafuta unafuu wa maisha.
 
Hamjashindwana kabla hamjapata mtoto mmekuja kushindwana wakati mna watoto 3 ???????
 
Duu! Hatakama ningekua mwanamke nisingekubali. Hivi ujana unishiaga na miaka mingapi vile?
 
Mmmh ni busara kutafuta aliyena mtoto au aliye zaidi ya 35, maana atajua umuhimu wa kuwa mama au more matured. Lakini wa degree, no kids umpe ulezi wa mwengine mmmh wewe na bahati yako.
 
Kuna changsmoto sana hapo hasa km hao watoto watakuwa hawana nidhamu ya kumheshimu mama yao wa kambo.
Pia kumpata mwanamke atakaewapenda km wanae napo ni mtihani. Mungu atie mkono wake ktk hili ndg KIDHEHA
 
Last edited by a moderator:

Wanaume bwana awaishi ubaguzi.we umeoa umezaa watoto 3 unataka dada amabaye aawahi ata kuchumbiwa??? unaweza kumpata ila kwa idadi ya watoto tafuta mwanamke mwenye mtoto.
 
Last edited by a moderator:
Wanaume bwana awaishi ubaguzi.we umeoa umezaa watoto 3 unataka dada amabaye aawahi ata kuchumbiwa??? unaweza kumpata ila kwa idadi ya watoto tafuta mwanamke mwenye mtoto.

Yes atafute mtu ambae tayari ana uzoefu na malezi, msichana wa 25 ni mtihani mkubwa kumkabidhi alee watoto watatu.

Siku zote mtoto wa kambo huwa na lawama sana na nu nadra kuridhika hata apendwe vipi na mama yake mlezi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom