Natafuta mwanamke mwenye shepu nzuri

Natafuta mwanamke mwenye shepu nzuri

Kidume

Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
78
Reaction score
14
Mimi ni mwanaume natafuta mke mwenye makalio ya haja maana ndo ugonjwa wangu, pia kifua kisiwe kikubwa sana cha wastani. kama upo tayari njoo pm nikuweke ndani.

Mwaka mpya na mambo mapya. umri wa kiserikali.
 
Kigezo ni makalio tu??? No umri,no dini....
 
...hii sasa sifa, asa hayo makalio in kwaajili ya kuja kukaa au ndo atakuwa katuni wa maonyesho....
 
Makalio kwaajili ya kazi gani??? Unatumia huko terminal 2???
 
Tulivyokuwa Form one tulifundushwa mambo ya CHEMICAL CHANGE na PHYSICAL CHANGE ambapo kuhusu unene ni physical change ambapo mtu linaweza kalio linaweza likaongezeka pia likapungua, kwa mtindo huu likipungua sijui itakuaje sasa au atamwacha?
 
Subiri kidogoooo.
 

Attachments

  • 1421238664994.jpg
    1421238664994.jpg
    11.3 KB · Views: 487
Back
Top Bottom