Natamani sana kuwa na mwanamke kutoka Jamii Forums

Natamani sana kuwa na mwanamke kutoka Jamii Forums

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
407
Habari za uzima wakuu wa L-connect.

Mimi ni kijana ofcourse, age >24 and <27.Nahitaji mwanamke mrembo kutoka jamiiforums, umri wake uwe si zaidi ya miaka 28 na usipungue miaka 18.Napendekeza wote tuwe katika Jiji hili hili la Dar es salaam, i dont like distance love.

NB: She must be beautiful, awe na tabia nzuri.

Njoo pm kama uko willing and able
 
Habari za uzima wakuu wa L-connect?

mimi ni kijana ofcourse, age >24 and <27.

Nahitaji mwanamke mrembo kutoka jamiiforums, umri wake uwe si zaidi ya miaka 28 na usipungue miaka 18.

Napendekeza wote tuwe katika jiji hili hili la Dar, i dont like distance love.

NB: She must be beautiful, tabia nzuri kiasi.

Njoo pm kama uko willing and able

Vip wadada wa Jf watamu ni mimi nianze kampeni…?
 
kwenye msafara wa mamba kenge wapo na sio kwamba mtoto wa mamba ni kenge
 
kwenye msafara wa mamba kenge wapo na sio kwamba mtoto wa mamba ni kenge

Haha umenikumbusha ile hadith kuwa chatu akizaa watoto, anaend kujificha halafu anawatishia, watao kimbia watakuwa vinyoka vidgo.
 
Unaweza kuta huyo unaemtongoza huko mtaani ndio huyo huyo wa JF...kwani wadada wa JF hawana ulimwengu wao...waliopo mtaani ndio hao hao wapo JF.......
 
Unaweza kuta huyo unaemtongoza huko mtaani ndio huyo huyo wa JF...kwani wadada wa JF hawana ulimwengu wao...waliopo mtaani ndio hao hao wapo JF.......

kila kimoja kina moto wake. unapomtongoza bila kujua ni JF member halafu pia ukamotongoza kwa kujua ni member, kuna mawili hapo..TEST TO TONGUE DIFFERS
 
Habari za uzima wakuu wa L-connect?

mimi ni kijana ofcourse, age >24 and <27.

Nahitaji mwanamke mrembo kutoka jamiiforums, umri wake uwe si zaidi ya miaka 28 na usipungue miaka 18.

Napendekeza wote tuwe katika jiji hili hili la Dar, i dont like distance love.

NB: She must be beautiful, tabia nzuri kiasi.

Njoo pm kama uko willing and able

Nimependa hapo kwenye tabia @nzuri kiasi!
 
Last edited by a moderator:
unatongoza mnakubaliana kukutana sehemu,kumbe mamako mzazi,sasa hapo inakuaje?
 
Back
Top Bottom