Bado naamini kwenye mtandao

Bado naamini kwenye mtandao

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Posts
4,992
Reaction score
3,880
Desperate times calls for desperate measures
 
KW heshima ya Jukwaa watu wote wenye maswali binafsi nitayajibu PM..
Unless yawe yanahusu kila mtu nitayajibu humu
 
Kwa kuwa mimi niko humu tokea mwaka 2009 , nimejifunza na kuona vitu vingi kuhusu "e-dating" ..
Hilo halikunirudisha nyuma kufanya ninachotaka kufanya sasa..
Kwa namna moja au nyingine maisha yangu kwa siku hizi za karibuni yamenifanya nirudi nyuma kuhusu "e dating" ..
Mimi ni "average joe" kama tunavyoitwa humu.
Nina kakazi kangu kanako weza ku support ka familia kadogo,
lakini kakaazi kamenifanya niwe bize kidogo nishindwe ku connect na watu wengine vizuri,
Sasa nahitaji kuwa na uhusiano na "future wife" wangu..
naanza wapi, ?naanzaje?
Naamini ndani ya miaka 2 ijayo nitakuwa Mr.James.
sifa za future wife.
dini -Mkristo
Miaka -24-27
Elimu Fm 6 -phd
rangi ya ngozi -brown na mweupe
Urefu - ft 5.5 mpaka 5.9
Mimi ni mrefu wa ft6.0 ,mweusi
extra ..Mcheshi.

Awe .Mcha Mungu
.
.
.
Naamini mwakani mwishoni nitakuwa Mr.

Regards.
JAMES

ongezea, wewe ni mhaya
 
Kila la heri Mkuu penzi la kupata hadi mke/mume linaweza kutokea hata mtandaoni kama ilivyo uraiani. Kila la heri na baraka katika kumtafuta mwenza wa maisha.
 
mkuu kalou watakaobaki kwenye mchujo wako do me a favor ni fowardie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom