Habari wana Jamii forums.
Mimi niina miaka 26 ninafanya kazi za imformation technology, nahitaji mke wakuishi nae vigezo ni awe na kazi yeyote awe anaishi kaskazini yeyote alie tayari ani pm.
Nimekuwa nikishuhudia watu wa jinsia ya kiume wakishambuliwa kwa kuitwa majina kama domo zege, huko mtaani hujaona n.k. kwenye jukwaa la MMU (Love connect). Baada ya kupost kuwa anatafatufa mke...
Mimi ni kijana jinsia ya kiume hahitaj mwenza nimwajiriwa katika taasisi ya kiserikali nafasi ya office attendant mwenza pia aanzie kidato cha nne elimu yake.
Nawasilisha.
Wanawake wengi huachwa au kusalitiwa kwa sababu ya kutomjali mwenza wake hivi...
1. Muda wote atakuwa hana chakuongea, huku akisubiri ulete maongezi.
2. Ukitaka kuonana nae atakuzungusha kweli...
Mimi ni kijana mwenye miaka 29, ni mtumishi wa uma. Elimu yangu ni shahada ya awali. Natafuta rafiki wa kike ambaye tutakuwa tunabadilishana mawazo na kushare mambo mbali mbali.
Mungu akipenda...
Ukweli maishani mwangu napenda kuwa na mwanamke aliye nizidi umri,awe mwenye elimu, na mwenye uwezo wake kiuchumi pia mcha MUNGU.
Kwa sababu bila MUNGU hakuna kitu,mwenye ukarimu na mpole, pia...
Mambo vipi wadau wa Love Connect.
Mimi ninaitwa Mlossy Junior ninatafuta Mchumba kwani nimechoka maisha ya upweke. Elimu yangu,nina Degree ya kwanza na ni muajiriwa.Ninaishi Dar,kwa aliye tayari...
Kama headline inavyosema, natafuta mwanamke wa kufarahi nae, gharama za outing ni juu yangu.Sifa zake,awe mzuri wa sura na umbo/awe Arusha. Kama uko serious ni Pm.
Asanteni.
Hamjambo marafiki,natafuta mchumba kuanzia miaka 20-25
Sifa
awe mkristo mcha Mungu(msabato atapewa kipaumbele)
mwenye elimu kuanzia diploma na kuendelea.
Mrefu wastani .
Hamjambo marafiki,natafuta mchumba kuanzia umri wa miaka 20-25
sifa
Awe mkristo mcha Mungu(msabato atapewa kipaumbele)
Awe na elimu ya diploma na kuendelea.
Mrefu wastani na mwonekano wenye...
Hamjambo marafiki,natafuta mchumba kuanzia miaka 20-25
Sifa
awe mkristo mcha Mungu(msabato atapewa kipaumbele)
mwenye elimu kuanzia diploma na kuendelea.
Mrefu wastani .
Iwapo una vigezo...
Kwa heshima kubwa najitokeza hapa kutafuta mwanamke ambae nae mwenye uhitaji mkubwa kwa mume, umri wangu ni kati ya miaka 43 na 48. Naomba yule mwanamke mwenye uhitaji wa mume.
Tuwasiliane kwa...
Hii ni kwa wadada wa Jamii Forums tu.
Kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya miaka 10 Valentine hii nitakuwa mwenyewe mwenyewe hivyo dada yeyote aliye tayari namkaribisha siku hii tuwe pamoja...
Wapendwa kama kichwa cha habari hapo juu cha jieleza.Nipo natafuta mchumba atayekuja kuwa mke wangu,umri wangu miaka 25,kwa yeyote.
Aliyetayari tuwasiliane.
mm ni boy 22 nimejitokeza hapa kutafuta mchumba wa kike ambae yupo tayari kuishi na mm.Mimi in mfanyakazi wa serikali
......sifa....
awe na elimu ya kujitambua
awe na kazi yake ya kueleweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.