Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

PRINCEBOY

Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
73
Reaction score
52
Naitwa Geofre wa Mbeya Tz nna miaka 24 ni muajiriwa,ni mrefu,rangi maji ya kunde natafuta mchumba mwenye vigezo vifuatavyo.

1.Awe mweupe au maji ya kunde.

2.Awe mwembamba au mwenye umbonamba nane.

3.Awe na elimu yoyote.

4.Awe mzuri kitabia na kisura.

5.Asichague hali ya maisha kuishi maana maisha ni kitendawili ambacho hakuna mwenye jibu zaidi ya Mungu.

6.Awe ameokoka.
 
Dogooo!! Umekosa mwanamke hata kanisana ,mtaan kwako, ofsin kwako, hata sokon?!!
Hapa hupant ntu labda utakutana na waleee makonkodi
 
Nenda kanisani kwa walokole huko wengi watakua wameokoka
 
wadau nimeamua kurudi tena baada ya kutofanikiwa ombi la kwanza.
 
Naitwa Geofre wa Mbeya Tz nna miaka 24 ni muajiriwa,ni mrefu,rangi maji ya kunde natafuta mchumba mwenye vigezo vifuatavyo
1.Awe mweupe au maji ya kunde
2.Awe mwembamba au mwenye umbo
namba nane
3.Awe na elimu yoyote
4.Awe mzuri kitabia na kisura
5.Asichague hali ya maisha kuishi
maana maisha ni kitendawili
ambacho hakuna mwenye jibu
zaidi ya Mungu
6.Awe ameokoka[/
Hivi bado wanawake wanatafutwa kwenye social network.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom