Nahitaji mwanamke anayejiheshimu tuoane

Nahitaji mwanamke anayejiheshimu tuoane

Joined
Jan 14, 2015
Posts
79
Reaction score
18
Habari Wana Jamii Forums.

Kama title inavojieleza ni kuwa mie ni mwanaume mwenye miaka 32 na nahtaji mwanamke wa kuanza naye
maisha ya familia(mke na mme). Elimu yangu ni bachelor degree na ni mjasiriamali.

Mwananke anatakiwa awe na umri wa kuanzia miaka 22 - 30.Elimu kuanzia form 4 hadi Masters.
Awe ni Mkristo lakini pia mwenye hofu ya Mungu.

Aliyetayari ani-PM.

Asante.

Mshika Bunduki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom