This goes to every Love connect member.
Not everyone that you see in a relationship is happy and comfortable. Many are in pain, theyre stressed, ever in regrets, tears, torture, they have...
Habari za leo wadau.
Mimi ni mwanaume umri miaka 23-25, natafuta mwanamke (binti) miaka 22-25, wa kuwa nae kama rafiki wa kubadilishana mawazo, na kuwa nae katika mahusiano yasiyo rasmi (friends...
Tangu niachane na Girlfriend wangu nimekuwa katika wakati mgumu sana. Wakati mwingine napata hasira bila sababu za msingi. Hapa nyumbani naishi na mdogo wangu, sometimes nakuwa si 'mtreat'...
Mimi ni ni mwalimu nimeajiliwa serikalini ninafundisha sekondari. najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mwanamke mcha MUNGU. mwenye umri kuanzia miaka 24-30.
Kama upo nipigie kwa 0659336264...
Natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa hizi:
i. Awe na umri wa miaka 18-22.
ii. Awe mkatoliki au aliyetayari kuhamia Roman Catholiki.
iii. Awe mrefu wa wastani
iv. Awe na elimu angalau kidato cha...
Hbr za kupeluz wana jf! Najtokeza kwa mara ya kwanza ktk jukwaa hili nikitafuta mwanamke wa kumuoa. nina miaka 33, nina diploma ya marketing, muajiriwa, mkrito,mtulivu, mcha Mungu.
Sifa za...
About Me:
-28 years of age.
-Kurya.
-176 cm urefu.
-Maji ya kunde.
-Degree holder currently.
-Christian.
-Sijawahi kuoa.
-Sina mtoto.
Awe:
-25-35 years of age.
-Kabila lolote.
-Elimu at...
Wakuu mimi nimehamia Tabora kama wiki 2 ila nimeachwa na mpenzi wangu alivyoona nimejiunga na jeshi, natafuta marafiki wa kike wa kupeana kampani.
Kwa wale waliopo tabora alie tayari naomba ani pm.
Anayejitambua mwenyewe upendo wa dhati mfupi wastani na Kwa ambaye yupo tayar naomba anichek pm ili tuweze kuongea zaidi na awe anaishi dsm karibu na maeneo ya Mikocheni.
Wakuu nawashukuru kwa uwepo wenu.
Nimerudi hapa kwa mara nyingine kutoa mrejesho wa uzi wangu niliopost hapa kutafuta rafiki na Mume.
Kwanza, ninamushukuru Mungu kwa yote. Pili ninashukuru...
This goes to every Love connect member.
Not everyone that you see in a relationship is happy and comfortable. Many are in pain, they're stressed, ever in regrets, tears, torture, they have...
Salam wana Love connect.
Najitokeza kwenu kutafuta msichana/ mwanamke mwenye vigezo kwajili ya kuwa nae kwenye mahusiano ya kiutu uzima:
Umri:Miaka 23-40.
Rangi:Mweupe /maji ya kunde...
Kuna uzi nilipost hapa kutafuta mke wa kuoa, yule dada alikuwa na vigezo vyote nivitakavyo but hakuwa serious kwa sababu yeye aliniambia atakuwa tayari kuolewa Mwakani, wakati mimi nahitaji kuoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.