Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi Ni Mwanaume,Natafuta Mke Wa Kuoa,
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 katika maisha yangu huwa najisikia mpweke sana kama sipo kazini.Kwani sijawahi kuoa na sina mpenzi wala mchumba.Nahitaji mwanamke yeyote wa kubadilihana naye mawazo. My...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za masiku. Ni mara ya tatu narudi kwenye jukwaa kwa sababu ile ile.Nipo tayari na nimejiandaa kuwa mume bora.Nina imani humu nitampata mke bora wa maisha yangu. Aliyetayari kuwa mke bora...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari na heri ya mwaka mpya ndugu zangu. Mimi ni mwanaume wa miaka 27 now,nipo Moshi mjini Msaranga.Elimu bachelor degree of banking and finance,mchaga wa Oldi moshi,mkristo safi Lutherani,mrefu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nakaribisha PM kwa mdada mwenye nia ya dhati ya kuolewa. Sifa awe mkristou umri wake usizidi miaka 29. Mwenye mtoto 1 ruksa,asiwe mnene na asiwe mweusi,awe anajua kusoma na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana Jamii forums. Natafuta mume wa kuishi nae.Awe kati ya miaka 32 hadi 35.Awe mkristo nimeajiriwa Serikalini na Nina mtoto mmoja.umri wangu ni Milka 29,Elimu yangu ni shahada ya...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Natafuta rafiki wa kike mdanyakazi na ambaye anajitambua mwenye kupenda maendeleo tafurahi sana anaweza kunitumia sms kwa 0713164090
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane. Umri wangu...
3 Reactions
171 Replies
19K Views
Natafuta rafiki/mpenzi mwenye umri huo, umri wangu ni kati ya 38-45. Sifa kuu awe mwelewa, mpole asiyeongea kwa kupiga makelele na awe na Elimu walau kidato cha nne. Welcome.
2 Reactions
32 Replies
3K Views
0788557751
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Natafuta mke awe na sifa zifuatazo: Awe mweupe,awe na kijungu aka msembwende aka makalio makubwa,awe anatokea mikoa kati yakilimanjaro,mwanza,lindi au mtwara,awe na Elimu angalau diploma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana nina 26 yrs nafanya kazi wizara ya ulinzi, nipo Dar es salaam area naitaji mwanamke wa kuoa umri asizidi 26yrs Dini si kigezo. Aliye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Akina dada humu ndani hamjambo,Mimi ndio kwanza najiunga na hili jamvi la Jamii forums. Natafuta girlfriand anipe kampani mwenye sifa zifuatazo: 1.Mrefu wastani, mimi urefu wangu 173cm. 2.Asiwe...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
deleted
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana nae mawazo sijali umri, dini wala kabila kama upo interest nicheki PM.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rafiki wa kuchati naye na kubadilishana mawazo
0 Reactions
2 Replies
866 Views
Mimi Mjasiriamali nahitaji Mke mwenye vigezo vifuatavyo: -Mkristo na hasa awe tayari kufunga ndoa RC -Mfanyakazi na hasa mwalimu. - Hajawahi kuolewa au kuzaa. -Asiwe mwembamba na sio...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
1. Faith: A truly God fearing lady who is a Christian whereby a RC is preffered. 2. Age: has to vary from 24- 27 years or slight differences. 3. Education: At least a bachelor's degree, a...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
1. Faith: A truly God fearing lady who is a Christian whereby a RC is preffered 2. Age: has to vary from 24- 27 years or slight differences 3. Education: At least a bachelor's degree, a teacher is...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta mke mwenye umri 28 hadi 30 dini yeyote 0715898965.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom