kijana Mpole 01
Member
- Sep 20, 2014
- 69
- 14
Habari.
Mimi ni kijana miaka 25,natafuta mdada au mmama aliyenizidi umri kwani ndo nawapenda ni kijana nimeajiriwa na Elimu yangu Chuo kikuu awe na hela au asiwe na hela yote sawa ila awe anayejipenda yani msafi.
Unaweza kutumia mawasiliano yako kama email/no. n.k utavojisikia.
Asanteni.