Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Nimekuwa nikishuhudia watu wa jinsia ya kiume wakishambuliwa kwa kuitwa majina kama domo zege, huko mtaani hujaona n.k. kwenye jukwaa la MMU (Love connect). Baada ya kupost kuwa anatafatufa mke, mchumba nk. Kwani lengo la hili jukwa ni nini? Kwanini mtu umrudishe na madongo.
Mwanamke akipost anatafuta wala hawamshushui, atazongwa na PM huyo mpaka basi na pengine wanao PM ndo hao hao wa kwanza kuwashushua wenzao wa kiume wanaopost kutafuta. Kama huwezi msaidia mtu si upite kulia jamani?
Ni kweli mtaani wapo lakini nini maana ya teknolojia kwanini niache kitanda na TV nikazunguke mtaani kutafuta mwanamke wakati simu yangu yenye Jamii Forums app inaweza niletea mapenzi hadi kwangu.