Natafuta mchumba wa kuoa

Natafuta mchumba wa kuoa

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,291
Mimi ni kijana jinsia ya kiume hahitaj mwenza nimwajiriwa katika taasisi ya kiserikali nafasi ya office attendant mwenza pia aanzie kidato cha nne elimu yake.

Nawasilisha.
 
Yupo profesa mmoja mwanaharakati mtetezi wa haki za wanawake na yupo single. Nikuunganishie?
 
usiwafanyie usanii tu kwa kuwaonja na kusepa wakati ahadi yako wote tumeisikia

hapana mkuu lazima nitimize kwa kile nilicho ahid ili mladi vigezo vipo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom