Nahitaji mwanamke aliyenizidi umri

Nahitaji mwanamke aliyenizidi umri

niceone

Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
49
Reaction score
4
Ukweli maishani mwangu napenda kuwa na mwanamke aliye nizidi umri,awe mwenye elimu, na mwenye uwezo wake kiuchumi pia mcha MUNGU.

Kwa sababu bila MUNGU hakuna kitu,mwenye ukarimu na mpole, pia awe anavutia hata kwa mwili wake maana mimi si mbaya kwa vile ambavyo MUNGU aliniumba.

Pleas +255714255432 kama atajitokeza mapema basi hatua zitafuata naimani hatutashindwana.
 
Huyo hapo. Anakufaa sana. Unaweza kumkagua vizuri hapo kwenye youtube.
 
Last edited by a moderator:
Insha'Allah utampata .kwani mwanamke no chuo (al umm madrasatu
 
Back
Top Bottom