khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 212
Wanawake wengi huachwa au kusalitiwa kwa sababu ya kutomjali mwenza wake hivi...
1. Muda wote atakuwa hana chakuongea, huku akisubiri ulete maongezi.
2. Ukitaka kuonana nae atakuzungusha kweli na wala hajali ukaribu wenu.
3. Usipo mpigia simu au kumtumia sms kwanza wewe basi kamwe naye hato kutafuta.
4. Siku ukiwa kimya, yeye atatulia kama maji ya mtungini then ukija kumtafuta atakujibu "beb y ulikuwa kimya da whole day" wakati siku nzima hajakutafuta (hahaha)
5. Hata ukimjali vipi hato kujali wewe pia.
6. Always anapenda umfuraishe lakini yeye hana habari na wewe
7. Huzipotezea sms zako, hata kama ni muhimu.
8. Akiwa lonely,bored easily anataka uwe karibu nae.. But wenu nid her hatojali...
9.always hamuamini mpenzi wake.
10. ONGOZEA...
... Na hao gals anaweza kweli kukupenda bt hajui namna kupenda... (imagine a man akakutana na a gal ambaye anajalije atamkumbuka yule)?