Natafuta mwanamke wa kufurahi nae

Natafuta mwanamke wa kufurahi nae

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Kama headline inavyosema, natafuta mwanamke wa kufarahi nae, gharama za outing ni juu yangu.Sifa zake,awe mzuri wa sura na umbo/awe Arusha. Kama uko serious ni Pm.

Asanteni.
 
''mwanamke wa kufarahi nae''

Haya haya wadada wanaotaka kufa-rahi....
 
mbona leo jumatatu mimi nitakuja ijumaa nitumie nauli ya fast jet ya kwenda na kurudi... sitaki unitumie ticket nataka hela
 
Valentine ina mambo hii. Baada ya hapo tupa kule.
 
mbona leo jumatatu mimi nitakuja ijumaa nitumie nauli ya fast jet ya kwenda na kurudi... sitaki unitumie ticket nataka hela

Siku hizi hadi wanafunzi ni maYAHAYA
Toka lini mwanafunzi wa o-level akawa na hela hata ya vocha???????????????
Na sijui huko bording kama hata wanaruhusiwa kutoka nje shule.
Usinichekeshe mie.
 
Back
Top Bottom