Mimi ni mwanaume wa miaka 30, sijaoa bado kutokana na vipaumbele vyangu vya sasa; ila napenda niwe na rafiki wa kike wa umri wowote japo awe mrembo kweli.
Napenda sana kusikiliza music wa taratibu, napenda hii sifa iwepo kwa huyu mrembo...
Mwenye sifa ya urembo kwa maana niliyoainisha hapo juu, tukutane PM kwa mawasiliano, kwa ufupi hutajuta kuwa rafiki yangu.
Wenu katika kujenga taifa la Mungu