Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

Cool Gentleman

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
330
235
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:

  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa mbaya
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Sifa zangu:

  1. Umri wangu miaka kati ya 45-50
  2. Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
  3. Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
  4. Sina mke
  5. Nina watoto wawili

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously
 
Cool Gentleman, umenisaidia. Tuna sifa zinazofanana na tuna tafuta vya kufanana.
Addendum: 5. Nina mtoto mmoja:confused3:

Mkuu ukimaliza mchakato nishtue, nami nianze
 
Cool Gentleman, umenisaidia. Tuna sifa zinazofanana na tuna tafuta vya kufanana.
Addendum: 5. Nina mtoto mmoja:confused3:

Mkuu ukimaliza mchakato nishtue, nami nianze
MwalimuZawadi nafurahi kusikia kuwa sifa zetu zinashabihana na tunatafuta vya kufanana.

Hongera pia kwa huyo mtoto moja. Ni vema tuhakikishe wanapata elimu bora.

Kuhusu mchakato, sina uhakika utamalizika lini. Niko open minded la sijui kama nitapata au la. lakini pia sina haraka wala siko desparate. mambo mazuri hayataki haraka.

Nakushauri kama unaweza uanze tu huo mchakato wako.

Kila la heri.
 
Last edited by a moderator:
kaka kazi hapo ni namba 2,wengi wanachinika mpaka nyusi.
salito ili mradi hatumii mkorogo ambao umembadilisha rangi na complexion ya ngozi yake sidhani kama ni tatizo ili mradi awe anavutia. Of course preference ni uzuri wa asili.
 
Last edited by a moderator:
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:

  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Sifa zangu:

  1. Umri wangu miaka kati ya 45-50
  2. Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
  3. Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
  4. Sina mke
  5. Nina watoto wawili

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously

Kaka unaonekana uko serious, usituone kimya wadada wanatafakari maana kuna watu wameingizwa mkenge humu.
 
Uncle umri wenyewe umeenda halafau unasema hauko desperate, yani bado bado upo mmmh kuna utatanishi. Pili hao watoto ndani au nje ya ndoa?

MadameX maisha halisi ya maisha is not about umri, it is about quality. Utagundua unapoendelea mbele. Kuna makosa nilifanya huko nyuma na sitafanya tena. Si kila king'aacho ni dhahabu. Kigezo namba 3 ni muhimu na ndicho kinachonifanya niseme siko desparate na ndiyo maana nimezungumzia Urafiki kabla ya Uchumba au Ndoa.

Of course watoto ni wa ndani ya Ndoa ambayo sasa ni mfu. Niko makini.

Hivi hiyo Avatar yako? karibu sana. Dondoo namba 2 ina uzito wake nayo.
 
Kaka unaonekana uko serious, usituone kimya wadada wanatafakari maana kuna watu wameingizwa mkenge humu.

Big Lady ni kweli niko serious. Asante. Tafakari na chukua hatua , ni vema kuwa makini. Nakuunga mkono. lakini unakaribishwa.
 
Hiko kigezo cha 2 kimenikwaza...maana nimebandika nywele na kucha

Kubandika kucha na wigi hakuharibu uhalisia wako wa mwili unless kama umejichubua. Kama una uhakika una uzuri wa umbo na sura (In a standard way), usiste tuwasiliane tu.
 
Cool Gentleman, sasa wewe dini gani kama ilishawahi kuoa kuna wengine hapa huwa ni wadini tunataka kujua. Ni muhimu kujua maana fix humu ndani ni nyingi tu. Hiyo avatar is my aspiration,mwanamke mapambo kwani hujui hiyo?
 
MadameX mimi ni Mkristu. Hata hivyo vigezo vina uzito kuliko dini. Binafsi familia yangu ni mchanganyiko wa Wakristu na Waislamu na makabila zaidi ya 5, kwa hiyo isikupe shida kama na wewe si Mdini.

I hope "Ni mapambo" na hujajichubua. Ila sifagilii too much costmetics. lol hatari lakini salama.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom