I am so lonely and depressed, stressful

humble chick

Member
May 6, 2016
7
12
Hi all!
Nahitaji mkaka yeyote amongst you who is heart-broken,lonely na hajawahi kupata true love katika mahusiano aloingia..Either your gal cheated or left u without any reason or with foolish reasons like u have no money,u r not this or that or like someone i adore and wish to b with!!U R NEEDED HERE!
NB:WALIOUMIZWA TU,KAMA ULIMCHEAT WEWE TAFADHALI USIJE!
MY ex left me for foolish reasons ambazo hata nkikwambia u will drop the jaw ...Iam innocent and i wanted to hate all mens because of him but nimegunndua ni foolish thought,there are millions of men out there wanaohitaji upendo wa kweli kama mimi kuna wanaume wanaowaza kukutana na eva wao but wanakutana na mabinti wa ajabu ajabu na sifa mbaya zisizofaa na wanfikia hatua ya kudhani mabinti wote tuko hivo!its not easy mimi kukutana na mtu wa aina hii tukajua nia zetu kwani moyo wa mtu ndo uloyabeba sio sura yake!
Hata kama uko kwenye wakati mgumu maishani,karibu! ntakuwa faraja yako nawe utakuwa faraja yangu kwani nami kuna mambo napitia maishani,mitihani ya hapa na pale but nasimama imara!
VIGEZO VYAKO:
Physically appearance u must be tall about 5 ft up! kuanzia miaka 25 kupanda juu.
Rangi yoyote,uwe umesoma uwe umejiajiri ama umeajiriwa yote ni sawa mradi uwe na kipato cha kujikimu na kula kwa jasho lako cz imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho lake" na ukiwa legelege ni chukizo hata kwa muumba,sio kwangu tu! uwe mcha mungu cz mimi pia ni mcha na mwenye hofu ya mungu,siend club wala cjawahi,sijawahi kunywa pombe tangu nzaliwe,sina gangs za kuchuna mabuz wala kuparamia waume za watu cjawah,inshort sina historia yyte chafu!
if unajijua vizuri we ni mhuni,hit and run type,sharobaro au bado unakula ujana pita hivi
i prefer mostly Uwe dar cz nimepazoea na pia ndo nnapoishi
uwe makabila yoyote but sio wa manyara au musoma huko..Nawaogopa
iam tall,super model,fair black,24yrs..Mengine utajua mbele wakati wa kufahamiana
Urs humbly,
Humble chick
 
Teh Teh, huyu ni mkabila na Mkanda kabisa.....
Si mnapenda diet? Chukua Mura aisee utakuwa slim mwenyewe.
 
Mens=men
 
Mimi nishaumizwa sana na nishaumiza sana hata hisia ya mapenzi sina. Nagegeda tu kwasasa kama unataka mgegedo Holla at'chu boy
 
Back
Top Bottom