Mm ni kijana wa miaka 29 nahitaji mchumba ambae nitamuoa na awe tayari kuanza maisha na Mimi awe mweupe au maji ya kunde miaka 20-24, awe mkristo ila kabila lolote aliye taysri anicheki 0766971149...
Mambo?
Mi ni msichana mwenye umri wa miaka 27
Nimeajiriwa serikalini
Nipo mkoa wa Mtwara
Nahitaji mchumba
Awe ameajiriwa au amejiajiri.
Awe mkristo
Miaka kuanzia 28-35
Awe mrefu kiasi.
Asiwe na...
Mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwislam,nipo Kanda ya ziwa, natafuta msichana mwenye akili ya maisha, haijalishi mkoa gani yupo,
umri chini ya 27 au 27
dini sio kigezo sana,
elimu sio kigezo piah...
Natafuta Mchumba wa kike aliye serious.
Umri wangu ni miaka 29 Mkristo nimeokoka, Nina ishi DSM na ni mfanya biashara.Msichana naye mtafuta awe na umri si zaidi ya miaka 28, awe mwenye kumuogopa...
Naomba nitoe pongezi kwa uongozi wa JamiiForums kwa kuanzisha hii platform ya mahusiano. Niliwahi kutoa thread yangu hapa kuwa natafuta mchumba/ baadae awe mke wangu. Zilikuaja PM kibao lakini...
Wadau natafuta Rafiki wa kike wakubadilishana mawazo pia awe Smart pia msomi kiasi kwa kuwa na min bado nasoma kuanzia 18-22 pia awe anahofu ya Mungu mwenye kujielewa nin anafanya,awe mweupe kiasi...
Am in desperate need of a cute girl aged between 22 to 26 who is employed or have an economic activity enganged in to marry me.am a man aged 35 with a permanent employment,Am a very smart lad, not...
Mim ni kijana wa umri wa miaka 26 natafta mchumba wa kuoa awe na umri kuanzia 23-26 awe tayar kupima,kuhusu ajira tutaelezana na pia dini yangu mkristo,tafadhali sipendi usumbufu kama hauko...
Habari,
Nimepata recommendation ya kujaribu JF ili kutafuta rafiki wa kike.
Mimi ni kijana, mwenye wa kadri ya miaka 30, nafanya kazi Dar, na nitapendelea kupata msichana/mwanamke anayejielewa...
Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana.
Na awe tayari kunipenda na awe...
Hi people
My name is Getrude am 27 years old living in dar. Am writing this post so as to search for my soulmate whom we are going to spend the rest of our lives together.
Please all men with...
Am Josephina from Dar es salaam, nimeajiriwa, nina miaka 33, msomi mwenye elimu ya chuo kikuu, mwembamba sio mrefu sana wala mfupi ni wa wastani, chocolate colour nimeokoka nampenda Yesu hivyo...
Am Josephina from Dar es salaam, nimeajiriwa, nina miaka 33, msomi mwenye elimu ya chuo kikuu, mwembamba sio mrefu sana wala mfupi ni wa wastani, chocolate colour nimeokoka nampenda Yesu hivyo...
Natafuta msichana mrembo nitakaezaa nae mtoto mmoja ...... maslai ni kama ifwatavyo
1. Katika kipindi cha miezi tisa ya ujauzito nitamlipa sh 10000 kwa siku sawa na laki 300,000 kwa mwezi hadi...
Salamu!
Kila mtu ana mapungufu yake na kuwa na mapungufu hayo kusimzuie kupata faraja na upendo. mimi ni mwanamke, nahitaji mwanaume ambaye MUNGU akipenda baada ya kufahamiana tuwe mume na mke...
Hi !
jaman natafuta mpenz umri wowote kikubwa 2pendane
Mm ni mama wa mtoto mmoja umri wangu ni 23 ninaish na baba wa mtoto lakn c ndoa rasmi
Aliyetayar ani pm ili kujuana zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.