Nimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono.
Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze...
I'm in Tanga town ( work and live here), have a degree in accounting planning for a masters soon. I drink socially, but I don't smoke. I'm a christian 28 yrs old and I'm brown in colour.
I would...
Natafuta MWANAMKE Anaeumizwa sana na kusumbuliwa mno na MAISHA YAKE YA UPWEKE WA KUWA MWENYEWE PEKE YAKE NA SASA AMECHOKA KABISA NA HALI HIYO NA SASA ANAITAJI MUME WA MAISHA YAKE.Mimi pia...
Habarini wapenzi.... Ni takribani miezi miwili sasa baada ya kumfumania aliekuwa mpenzi wangu na mwanamke mwingine wakiivunja amri ya sita bila woga...na kujikuta kuyachukia mapenzi kwa kiasi...
Habari wadau
Naombeni msaada wenu kwa yeyote mwanamke aliye na ujuzi ,hodari,uzoefu wa kuwa na mwanaume ambaye hajawahi kuwa na mwanamke kwa muda mrefu.
Tafadhali anahitajika...
Ninahitaji mke awe na umri wa miaka 20-23 umri wangu 25yrs awe tayari kupima afya nina mtoto 1 elimu walau form, mimi nimeajiriwa serikalini.
Aliye tayari anicheki 0745645518
Habarani wadau....
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu natafuta mpenzi ambae baadae atakua mume wa maisha yangu.
Mimi ni binti wa miaka 27 ni mkristo elimu degree na nmeajiriwa...
Nadhani topic iko wazi mimi ni mzanzibar mwenye asili kiarabu miaka yangu 37 nina mke moja elimu form four kazi fundi wa simu nimrefu maji wa kunde mnene kidogo.
Sifa za mke ninae mtaka ni awe...
Wanajamii Foram mimi nina mke ni mjamzito wa miezi nane, sasa huyu mwanamke kabla hajawa mjamzito n mvivu sana na anadeka kupitiliza yaani inakuwa kero mpaka nikienda kazini natamani nisirudi home...
Mimi nimtu mzima miaka yangu 37 ninamke na Zanzibar elimu form four kazi fundi wa simu, ninahitaji mke huko mainland au Tanzania bara awe muislam ana swali bila kuhimizwa, awe mrefu mwembamba...
Nina miaka 29.. Natafuta Mume aliye serious na mwenye hofu na Mungu ..awe Mkristo umri kuanzia miaka 30-35.
Sipo kwaajili ya kujaribiwa...kazi yoyote ili mradi iwe halali.
Aliye tayari anipm.
Wakuu nawasalimu,
Mimi ni mwanaume ambaye nimekata tamaa. Maisha ya kuwa single yamenichosha na kila nikitafuta mpenzi hakai sana bali ananiacha na kwenda zako. Nipo vizuri kustahili kupata...
Ninahitaji mke aliye serious mm ni mwajiriwa serikali elimu yake kuanzia form 4 na kuendelea awe tayari kupima afya awe mkristo atokee Mkoa wowote kabila lolote awe na umri wa miaka 18-23umri...
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 47. Nina watoto watatu. Ninaishi Dar es Salaam.
Ninahitaji kumpata mwanamume ambaye ana mapenzi ya dhati hasa uaminifu. Sihitaji kuolewa au niseme kuishi na...
Wakuu,
Mtakumbuka hivi juzi nilipost uzi kuwa namtafuta Eva wangu. Mungu sio Juma Nature, nimepata!! Nilikuwa creative kwenye Post yangu ili nistand out, nisijumuishwe kwenye wahuni wanaotafuta...
Mimi ni mtanzania niliyobahatika kuwa mwajiriwa wa serikalini nahitaji mwenza wa kuoana nae kuanzia miaka 18 - 40 sibagui dini wala kabila aliyetayari awetayari kupima VVU, naomba aliyetayari anipm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.