Natafuta mchumba wa kuoa

Natafuta mchumba wa kuoa

yajutu

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
951
Reaction score
1,208
Mim ni kijana wa umri wa miaka 26 natafta mchumba wa kuoa awe na umri kuanzia 23-26 awe tayar kupima,kuhusu ajira tutaelezana na pia dini yangu mkristo,tafadhali sipendi usumbufu kama hauko serious usini Pm,together we can,the love come automatic
 
Usiogope man maisha siku zote nikuamua uoga siku zote huleta umasikin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom