Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Ninajitolea mbegu za kiume kwa mwanamke ambaye anahitaji mtoto na mumewe/mpenzi wake hana uwezo wa kutunga mimba. Mwenye kuhitaji awe tayari tupime afya kwanza. Nitafute inbox for more info.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
You are the one am looking for. A lady with the age of 25 and not above 35, A Christian, Went to school preferably Degree Holder, Self employed or employed somewhere... I am Tanzanian Man of 34...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
DHAMIRA kukutafuta wewe dada tuliyeonanana dodoma NIA tuwe marafiki na kusaidiana katika maisha SIKU tarehe 30/7/2016, saa 5 hadi saa 7 ENEO katika internet cafe iliyoupande wa magharibi mwa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Tafutaneni haina shida
3 Reactions
1 Replies
947 Views
Wasifu wangu Age 32,Elimu chuo kikuu, kazi - nimejiajiri, nko dar, Sifa za mchumba wa kike Age 28 and above. Sina ubaguzi wa kabila, dini , etc. Cha msingi upendo wa dhati. Njoo PM mchumba...
0 Reactions
1 Replies
764 Views
Mimi ni msichana wa miaka 26, elimu yangu ni shahada moja, sifanyi kazi ni mwembamba,maji ya kunde,mkristo. Natafuta mme msomi at least degree,mwenye hofu ya Mungu,mwenye kazi ya maana,mkristo...
5 Reactions
81 Replies
11K Views
Hi I am a man aged 23 years old. I am a Tanzanian. I am still attending my studies at a certain institute here at DSM. Am here looking for any single girl with the equivalent age as stated...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Ni binti wa miaka 25, ni mfanyakazi katika chuo flani jijini Arusha na pia ninaishi na virusi vya UKIMWI. Changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni namna ya kupata mwenza ambaye tutaendana na kuishi...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama wewe na mdada wa makamo unakaribishwa hili tuwe tunashauriana na kushare mambo mbali mbali ya maisha. Mimi ni mkaka, miaka 26 nashukuru Mungu ninafanya kazi zangu mwenywe (Biashara), Ni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Me npo iringa mwanamke wa dini yeyote,kabila lolote,awe ameajiriwa miaka18 had24 me nimejiajiri ktk kampuni zangu Nina miaka26 pia nasubir ajira ya maguful interested women ani pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta mchumba Muislam awe mzuri,umri usizidi 23yrs,elimu kuanzia form 6 na kuendelea,mimi ni mtumishi serikalini,Awe anasoma au anafanyakazi au biashara,kwa aliye serious aje PM au email...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Awe wa dini yoyote, kabila lolote sehemu yoyote tanzania hii namuhitaji. Sina ubaguzi, nahitaji real love. Nahitaji mgumu/aliekomaa mwenzangu tuyajenge maisha. Umri kuanzia miaka 18 hadi 30.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama upo tayari njoo tujenge family . Nahitaji mwanamke atakaye kuja kuwa mke, Uwe Na miaka 28-32 uwe free unayejitegemea, Kama Una mtoto si mbaya ila usiwe Na mawasiliano Na mzazi mwenzako...
2 Reactions
72 Replies
7K Views
Habari wana jamii, Mimi naitwa James na nina miaka 31, sijaoa wala sina mtoto. Natafuta rafiki wa kike ambae yupo serious katika urafiki tu na ambaye atakuwa muwazi katika kushirikishana mambo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Goodmorning friends Natafta rafiki wa kike wa kupendana baadae kuja kuishi pamoja kama mke na mme, sifa zake awe na umri wa 18-24yrs, mkristo pia. Awe anasoma au hasomi sawa haitojalisha. Mimi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
COPIED FROM SOMEWHERE. Ambacho mabinti wanatakiwa kustuka , ni kwamba wengi wataolewa na bodaboda, wafanya biashara.ukibahatika mwanasiasa, kwa sababu wasomi hawanaajira, hivyo atakwambia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
I'm a 22yrs old lady looking out for a man who would be real, trustworthy, caring, loving, smart in and out, open minded, humbled, good in mind and above all a God fearing person with a good...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
am a girl...btn 20-25 years! black wa kawaida tu.am sooo lonely and every relationship i had before didnt work.i dont know why i hv some problems in my life,mapoto ya hapa na pale but still...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Am a young man, aged 26. Niko kwenye likizo ya mahusiano cause na focus na career yangu. So nahitaji rafiki wa kike with no strings attached. Ni fun, relaxation and s3x. Age limit ni 40 Married...
1 Reactions
0 Replies
663 Views
Habari wana JF wote, Natoa pongezi sana kwa members wote wa JF kwa michango yao, ushauri, maelezo na hata baadhi ya tafiti wanazotoa katika Forum hii ili kuendeleza maisha na taifa kwa ujumla...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom